Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,722
2,000
Wakuu kuna jamaa yangu anatafuta wanapotoa kozi za magari makubwa ya kusafirishia mafuta na mizigo kwa gari kubwa anataka kujifunza kuendesha hayo magari kwa anaejua au anahusika msaada unahitajika kupajua.
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,965

NIT.

Lakini inakuwa vizuri zaidi kama angeenda pale alishajua kuendesha, akipata kitaa mtu wa kumfundisha baada ya hapo ndipo aende huko.
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,722
2,000
NIT.

Lakini inakuwa vizuri zaidi kama angeenda pale alishajua kuendesha, akipata kitaa mtu wa kumfundisha baada ya hapo ndipo aende huko.
Yaani hapa ndo shida ilipo mkuu gar kupatikana hiki ndicho kinatafutwa pa kuanzia maana Nit unatakiwa uwe unajua wao wanakupiga kozi fupi tu sio namna ya kuweka gia na kusepa
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,965
2,000
Yaani hapa ndo shida ilipo mkuu gar kupatikana hiki ndicho kinatafutwa pa kuanzia maana Nit unatakiwa uwe unajua wao wanakupiga kozi fupi tu sio namna ya kuweka gia na kusepa

Hapo ndiyo changamoto, labda akiweza kupata dreva wa kufanya naye kama utingo, na huyo dreva awe na route za masafa.

Hapo ni rahisi.
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,722
2,000
Hapo ndiyo changamoto, labda akiweza kupata dreva wa kufanya naye kama utingo, na huyo dreva awe na route za masafa.

Hapo ni rahisi.
Tungempata huyo mkuu ingekuwa poa sana tena sana sijui itakuwaje pia kama unae mkuu hapa town au unamjua atalipwa kwa kumfundisha
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,965
2,000
Tungempata huyo mkuu ingekuwa poa sana tena sana sijui itakuwaje pia kama unae mkuu hapa town au unamjua atalipwa kwa kumfundisha

Hapana sina aisee, ukiwa na mtu anafanya issue za clearing and forwarding anaweza kukupa link nzuri.

Maana wanakuwa na mizigo wanayoi-clear kwenda nje hivyo network za drivers wanakuwa nazo.
 
Steven Nguma

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
1,076
2,000
Mwambie aende veta ajisajili kwaajili ya gari kubwa watamfundisha ila wanatumia scania kipisi semi trailer hawana,pili kupata mtu wakukufundisha kwenye lorry wakati wa kwenda safari sikuizi inakuwa ngumu kiasi maana matjiri wengi wananunuwa magari mapya na huwa tunawapeleka madereva kusomea kozi fiupi kabla ya kuwa kabidhi magari hayo efficient cose, shida yetu hatuna mfumo mzuri wakuandaa madereva kwa nchi yetu,kila siku huwa nawauliza NIT kwanini hawana mfumo wa kupika madereva tokea chini?
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,722
2,000
Mwambie aende veta ajisajili kwaajili ya gari kubwa watamfundisha ila wanatumia scania kipisi semi trailer hawana,pili kupata mtu wakukufundisha kwenye lorry wakati wa kwenda safari sikuizi inakuwa ngumu kiasi maana matjiri wengi wananunuwa magari mapya na huwa tunawapeleka madereva kusomea kozi fiupi kabla ya kuwa kabidhi magari hayo efficient cose,shida yetu hatuna mfumo mzuri wakuandaa madereva kwa nchi yetu,kila siku huwa nawauliza NIT kwanini hawana mfumo wa kupika madereva tokea chini?

Shukrani sana mkuu veta pale chang'ombe?
 
sumu-ya-panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
616
1,000
Nikushauri tu wengi wanaanzia utandboy huko njiani na dereva wako ndo atakufunza mpaka utapokua sawa anakuachia njiani uendeshe tena sehem hatari ukiiva unaenda omba kazi ka dereva.

Nawe ufundishe mwingin. Makampuni mengi hayataki dereva mgeni bora wampe tandiboy wao wanaomjua anaendesha vizur kuliko dereva mpya alietoka shule
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,722
2,000
Nikushauri tu wengi wanaanzia utandboy huko njiani na dereva wako ndo atakufunza mpaka utapokua sawa anakuachia njiani uendeshe tena sehem hatari ukiiva unaenda omba kazi ka dereva. Nawe ufundishe mwingin. Makampuni mengi hayataki dereva mgeni bora wampe tandiboy wao wanaomjua anaendesha vizur kuliko dereva mpya alietoka shule

Mkuu sasa kupata hiyo nafasi ya kuwa konda ndo tatizo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom