lugha ya kichina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Kwako Mshana kaka Yangu, naweza kujua lugha ya kichina kama nitafocus mwaka mzima?

    Ndugu Mshana Jr naomba kuuliza kaka Yangu. Mimi by proffesional ni dereva Class A B D na E Nataka kujifunza lugha ya kichina ili kutumia Lugha kupata pesa zaidi. Je nikisema nataka kuwekeza mwaka mzima kwenye kujifunza lugha ya kichina naweza kutoboa ndani ya mwaka mmoja kujua angalau...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Hii combo ya lugha ya kichina na udereva class E inaweza kumtoa mtu kimaisha?

    Kutumia mwaka mmoja kusoma lugha ya kichina na kuwa na fani ya udereva wa gari. Kwa lengo la kufanya kazi na wachina maeneo mbalimbali inaweza kumtoa mtu kimaisha. Mwaka mmoja unatosha mtu kujifunza lugha ya kichina na kuwa mtaalamu wa lugha husika? Karibuni sana kwa mawazo na ushauri.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Tanzania aunganisha tamaduni kupitia lugha ya Kichina na opera ya jadi

    Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha ya Kichina na Kiswahili bila shida anapowaongoza wanafunzi kwenye matamshi, sauti, na misemo ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kichina na utamaduni wa Kichina vyapata umaarufu miongoni mwa wanafunzi wa Ghana

    Bertha Asiedua Boadu, mwanafunzi kijana wa Ghana, alianza kupenda kutazama filamu za Kichina mwaka 2020. Ili kuelewa hadithi za filamu bila kutegemea (subtitle) yaani tafsiri zinazopita chini ya filamu, mwanafunzi huyo alianza kutumia programu za kujifunza lugha ya Kichina mtandaoni ili...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?

    Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?
  6. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yang’ara katika umahiri wa Kichina, wanafunzi wafunguliwa milango ya fursa za kimataifa

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kukuza ubora wa elimu kwa kuandaa mashindano ya umahiri wa lugha ya Kichina, “Chinese Proficiency for Foreign College Students 2026” yaliyofanyika Jumanne tarehe 5 Mei 2026, katika ukumbi Mikutano wa Ndaki ya Sayansi za...
Back
Top Bottom