Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

Wapi wanafanya TOEFL exams kwa Dar es salaam?

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,842
Reaction score
10,765
Wakuu naomba mnisaidie ni wapi hapa DSM wanafanya mitihani ya TOEFL kwa ajili ya kwenda US? Kuna jamma yangu ana uhitaji.

Thanks
 
Zamani ilikuwa pale Mlimani UCC sina hakika kama bado inafanyika
 
Back
Top Bottom