exactly, ingawa wengi hawalipendi hili... ukiambiwa twala bata inasaidia usijiachie sana. lol
Bata kula na mababu atleast ndio wanajua appreciation ya hiyo kitu ,thubutuu na kijana mwenzio yan ni unajichakaza tu maana na vile anajua hamna featuring hapa he wont be responsible kwako kwa lolote lile............ni mwanamke yupo gani yupo willing kwa hili
mungu ndio kimbilio letu tunapoona kiza. ombeni nanyi mtapewa. emen!Hili suala kumuomba Mungu huwa haliniingiagi akilini au pengine mtazamo wangu upo kushoto
Je ulimshirikisha Mungu tangu mwanzo kwenye mchakato wa kumpata huyo mtu?
As far as i know wengi wetu hatufanyi hivyo tunakutana huko tulipokutana iwe kwenye bus,club,njiani,harusin etc
Wenyewe mnapendana na kufanya yooote muonayo sawa sasa mambo yakianza kuget up side n down tunafkiria kumwomba Mungu sasa...............hivi will he real help katika mazingira hayo?????
Tukubali au tukatae huu ndio ukweli ingawa ni formular ngumu mimi binafsi pia inanishinda kuifata
Kwa vile hatumtangulizi Mungu mbele kupata life partners basi game nzima inakuwa sawa na kucheza karata na hatuwezi kutengeneza formula itakayomsaidia kila mmoja maana mpango mzima ni kubahatishabahatisha tu
Njia uliyotumia wewe ukampata mr.right wako mimi nikitumia the same tips ntaishia kubugi na kulizwa kila siku kikubwa nadhani sababu tunatumia zaidi akili zetu za kuzaliwa.
mungu ndio kimbilio letu tunapoona kiza. ombeni nanyi mtapewa. emen!
Ili niwaibie vizuri
Inapunguza na PM pia🙂
una akili wewe!Jamani, raha ya mwanamme ajue na kuhonga kwa hiari, nyie si ndo wanamme bana.
Fanyeni jukumu lenu la kuhudumia na sie tufanye yetu khah!
Hata Yakobo alihonga miaka 14 ya kufanya kazi kwa Laban ili ampate Rahel, seuse wewe kuniweka kwenye pay roll tu?
Smile, ulichoongea ni theoritcal truth ingawa ndicho kilichotakiwa kuwa applicable.ujue tatitop watu sio wavumilivu ....hata mbuyu ulianza kama mchicha..sasa sisi tunaanza tu kuwa wapenzi hata kabla ya kujuana vema...sasa katikati unajikuta upo na bomu ambalo dakika za kulipuka ndo zinakaribia....na pa kukimbilia huna,,unabaki hapo unachanika vipandevipande hufai tena...
mi naona kabla ya kuingia kwenye mahusiano tuwe at least marafiki wa kawaida tusomane...hii itasaidia maana wengine tunatofautiana saaaaaaana.....
mambo ya kudandia daladala ya mbezi mwenge wakati ulikuwa unasubiri kwenda kimara tuache...daladala ni nyingi sana mwenge ata za kimara zipo so tusubiri bila kuchoka
nawasilisha
Smile, ulichoongea ni theoritcal truth ingawa ndicho kilichotakiwa kuwa applicable.
Hii dunia ya siku hizi sijui inazinguka haraka kuliko hapo miaka ya nyuma?
Kuna ile hali ya kujihisi nisipomweleza mapema nia yangu atatokea mjanja mwingine aninyang'anye tonge mdomoni.
THE NICE GUY is no longer a favourite of you ladies. Sijui kwa nini but I actually have tried this one out...jaribu kuwa the good guy always talking vitu productive n just being a friend..aaaand away she goes akijisemea, "haoneshi hata kama ana malengo na mimi"
THE PLAYER has become the ladies' catch..all fall for him! coz he is outgoing, spreads his cash freely, takes you out, whatever you name it...ila mnajisahau kujifunza somo kuwa the moment umempanulia miguu all that supply of heaven on earth stuff evaporates.
I think i will take my bro's approach wait, wait n waiiiiiit...najua i won't get an angel but ntampata yule ambaye tutakuwa tayari kuchukua mambo a lil bit slower...maybe go live in Uranus since Earth's revolving speed has been overwhelming particularly kwangu!!!
Smile,
Kuna ile hali ya kujihisi nisipomweleza mapema nia yangu atatokea mjanja mwingine aninyang'anye tonge mdomoni.
THE NICE GUY is no longer a favourite of you ladies. Sijui kwa nini but I actually have tried this one out...jaribu kuwa the good guy always talking vitu productive n just being a friend..aaaand away she goes akijisemea, "haoneshi hata kama ana malengo na mimi"
THE PLAYER has become the ladies' catch..all fall for him! coz he is outgoing, spreads his cash freely, takes you out, whatever you name it...ila mnajisahau kujifunza somo kuwa the moment umempanulia miguu all that supply of heaven on earth stuff evaporates.
/QUOTE]
natamani kila mmoja aone comment yako hapo!! watu huwa na maharaka utafikiri nini jamani!! yaani hiyo ya kuogopa kunyang'anywa tonge inasabibisha watu waanze relartionshp wakat bado hawajasomana fresh. wakat mdada akihofia akibana ataachwa mwanaume nae anafikiria apate fasta achape lapa!!!..
KongoshoJamani kuhongwa kipaji
Kuna wanamme wanajua kuhonga hadi mhongwaji unaumwa, huombi hata senti ila anakuingiza kwenye payroll moja kwa moja. Uwe una shida ama huna shida fungu lako liko pale pale.
exactly, ingawa wengi hawalipendi hili... ukiambiwa twala bata inasaidia usijiachie sana. lol