asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Hiki kifungu kilinifanya nipigwe kibuti hivi hivi na lazizi wangu kosa kubwa ni kuachia mashuzi usiku yenye harufu kali
mkuu hii haiwezekani ,huyo alikutafutia tu sababu.........
Hiki kifungu kilinifanya nipigwe kibuti hivi hivi na lazizi wangu kosa kubwa ni kuachia mashuzi usiku yenye harufu kali
Wapi tunakosea is so complicated to point out.... Maana saa ingine mahusiano yanaweza kuwa na complications na bado wahusika wakashindwa pointing out tatizo ni nini hasa.
Tabia ya sasa ya wengi wa wanawake kwa waume kuogopa kujiachia katika mahusiano kwa sababu mbali mbali (nyingi zikiwa jusifiable) pia ni tatizo. Inakuwa kana kwamba kila mnalofanya ni mashindano kati ya wapenzi hao. Kila kitu kushindana, mtu anaona kumwoshesha mwenzi kuwa anampenda ni weakness, sasa moja ya basis ya survival ya penzi hilo ni mapenzi, tena basi mapenzi ya dhati... Na mapenzi ya dhati hayaongelewi mdomoni tu; yanaenda kwa vitendo ili hata mwenzio aelewe kuwa wampenda. Inapokuwa hutaki kuonyesha mapenzi kinacho baki ni nini?
Pia tusisahau wale ambao wapo kwenye mahusiano kwa sababu zao zaidi ya kuwa na mpenzi huyo; unakuta mwanaume kamfuata mwanake sababu ya kutaka tu kuwa analala nae na hali mwanamke nae pengine kamfuata huyo mwanaume sababu tu kile anachopata kwa huyo mwanaume...
Its not that simple kuelezea. Tumekuwa 'Fake' mno! Its complicated....
Niece Husninyo nashukuru kwa salamu. I hope you are as well as I am. Pamoja Saana.
kabisa, yaani mtu akishakuwa na mpenzi anataka shida zake zoote ziishie hapo.kutarajia makubwa kutoka kwa mwenzi wako , ubinafsi na asili ya mwanadamu kutaka zaidi badala ya kutoa zaidi ( leo ukipewa z , kesho unataka c , ukipata c keshokutwa unataka A , tunajisahau kuwa wenzi wetu nao ni wanadamu na tujenge uwezo wa kukubali na kushukuru kwa tulichonacho)
darasa zuri Husninyo
tatizo ni moja tu wengi wapenzi wetu wa sasa ni second option kwa maana baada ya kushindwa kuwa na wale wa mwazno tulio wapenda kwa dhati kwa sababu mbalimbali!!! as a result yunakuwa na mapenzi nusunusu, na kila anayepita tunamtolea macho as hatujaridjhika na wapenzi tuliokuwa nao sasa
yaani jamani usiombe ukawa second option. khaaa!! ndio maana nasema tusubiri hadi tupate wale tuwapendao. halafu wanaume ndio zenu kutufanya wenzenu masecond optn.
We husninyo, hilo namba mbili ni gumu sana.... Hivi, kwa mfano, nikija kwako na kukuambia kuwa mimi nataka nikugegede kwa mwaka tu halafu tuachane, unadhani utakubali..??? Hilo gumu kwa almost wanawake wote bana
Hiki kifungu kilinifanya nipigwe kibuti hivi hivi na lazizi wangu kosa kubwa ni kuachia mashuzi usiku yenye harufu kali
sisalimii maana maneno yatakuwa mengi! lol
wapenzi wa mmu, leo naomba tujadili ni wapi tunakosea katika mahusiano. watu wengi wamekuwa hawafurahii mahusiano, wakati wanaume wanatuona wanawake tupo kama mafisi tunajali maslahi zaidi na sie tunawaona wao kama manyani kudandia kila mwanamke. tunakosea wapi? binafsi naona kuna mambo tunakosea katika kuanzisha na kuendeleza mahusiano.
1. tunakosea katika kuchagua mpenzi sahihi.
ni ukweli ulio wazi kuwa kila mtu ana vigezo vya mpenzi anaependa awe nae. inapotokea mtu amekuwa single muda mrefu hujikuta ameanzisha mahusiano na mtu hata kama hana vigezo alivyokuwa anaviwaza awali. wakati upo kwenye mahusiano sasa antokea mtu mwenye vigezo vyote ulivyovitaka na hapo ndipo usaliti huanza. a nashauri utulie na utampata yule umfikiriae hata kama itakuwa muda mrefu kiasi gani, jitulize na epuka kufanya hili kosa.
2.kosa katika hatua ya awali kabisa. wengi huwa hatujadili aina gani ya uhusiano tunaoutaka. wakati mwingine anafikiria mambo ya "mpaka kifo kitutenganishe" kumbe mwenza wake anafikiria kula bata tu. ni vizuri kujadili mapema kuhusu aina ya mahusiano yenu.
3. tunakosea tunapotaka wenzi ambao wapo perfect katika kila kitu wakati tunajua hakuna mkamilfu. unapokuwa katika mahusiano ni vizuri kuyakubali na kuyavumilia mapungufu ya mwenzi wako badala ya kufikiria kumbadilisha kuendana na unavyotaka awe maana ni ngumu mno..
4.tunaposhindwa kuwa na muda na wapenzi wetu pia tunakosea.si ajabu kuona mtu anaspend muda mwingi na marafiki kuliko mpenzi wake ambae ni mtu wake wa karibu zaidi. waweza kuona ni kawaida lakini kadri tunavyojiweka mbali na wenzi wetu tunazidi kuchujisha penzi.
hayo ni baadhi ya tunayoyakosea, nakaribisha wana mmu tujadili wapi pengine tunakosea kwa pande zote mbili ke na me.
ushauri wa bure:
ruhusu moyo wako kupenda bila kujali umetendwa mara ngapi maana katika kila mahusiano unayoumizwa ni changamoto ya kukufanya uwe imara katika mahusiano yako yajayo.
hofu ya Mungu imetoweka kwa mwanadamu, kila kitu kimechukuliwa kawaida...
alafu kibaya second option huwa wanajua kupenda na kung`anga`nia mpk unaona keroo saa nyingine!!!yaani jamani usiombe ukawa second option. khaaa!! ndio maana nasema tusubiri hadi tupate wale tuwapendao. halafu wanaume ndio zenu kutufanya wenzenu masecond optn.
hahahha, si unasema tu nataka tugegedane kama unanivutia nakubali. lol, ila mahusiano sio kugegedana tu, mwaweza fanya mengi wakati mpo pamoja ila tu nikumuweka aware mtu wako kuwa goti halitapigwa kwa padri wala shehe. lol