MAPENZI!MAHABA!MAKUCH KUCH HOTAE,MAHALAT!MACHUM NIKIS MWAAAAH!
matamu sana asee!
iiiiiiila sasa!
1.TUNAKOSEA SANA KUAMINI KWA KUWA A NA X WAKO HIV BASI M NA H WANATAKIWA WAWE HIV,tunawavalisha wapenzi,waume,wake viatu vikubwa MNO!simply kwa sababu muke ya kaka au babako alifanya hv kwa mwenzi wake!NOPE!NOPE!binatamu tuko tofauti sana!tafsir ya huyu kuwa ni uhalisi wa mapenzi si ya mwingine!
2.HATUJIFUNZI KUJIPENDA WENYEWE ,tunapojipenda ndipo tunajifunza kupendwa na pengine kuweza hta kutafsiri kupendwa ,hapa sizuzngumzii ubinafsi!UKIJIPENDA UTAJUA UNATAKA NINI,UNAKIPATAJE,UNAKIMANTAIN VIP!kinyume na hapo hata huwezi kukeep mwanaume au mwanamke anayekufaa since hujui hata moyo wako unapenda nin ili uwe sawa!
3.TUNAHAMISHA SAAAANA MAKOSA YA WATU WENGINE KWENYE MAHUSIANO MAPYA!,sentensi like wanaume ndo walivyo,ah wanawake nao watu!HII INATUMALIZ SANA KIHISIA!SIO KILA KOSA/ZURI ALILOFANYA MWANAUME WAKO WA LEO ATALIFANYA MWANAUME WA KESHO ,huwezi kuwa kila tukikaa unakomaa na sentensi ya hata joyce alikuwa hv hv au juma nae alifanya hv hv !mi siui nna bahati mbaya gani.UNATEGEMEA NITABADILIKA !I LL STILL BE ME!kama joyce alikuwa wa maana ungebaki nae
4.HATUPO WAZI,TU WA SIRI MNOOO!TOO MUCH PROTOCALS!TOO MUCH MAFOLDERS,ili niweze kujua unataka nini ni lazima uniruhusu nikufahamu,huwezi tu kuwa nadni ya chupa af mi nihisi tu kuwa HILI UNAPENDA ,HILI LINAKERA,HILI HUTAKI HILI ZURI!guessing inawapa kazi watu ya kuharibu kila kitu!FUNGUA MILANGO YAKO!
5.KWANI KESI,HIV NI LAZIMA TUAMINI KUWA NA MPENZI/MUME NDIO KUNAKUPA FURAHA,wengine tubaki kupiga makofi tu kwenye harusi na mahusiano ya wengine!,kuna watu wako wenyewe na wako happy!UNAPODATE NA MTU AU KUOA/KUOLEWA kwa kuwa tunategemea uwe mke au mume kwa umri wako lazima kuwe hovyo tu!HUJARIDHIKA!HUTAKI!HUJISIKII!thn kuwa tu unmarried and not dating but HAPPY!mengine ni kujilazimisha tuuu!
mechoka kuandika lol!:help: