wapi pa kutoka ukiwa mwanza

wapi pa kutoka ukiwa mwanza

wala msiwe na wasiwasi, wanajamvi. mie ni mtu mzima wala co mtoto. najua ninachofanya, nshapitia mambo meng ktk maisha. cdanganyiki kirahc kama unavofikiria. nina miaka 9 tangu nimeanza kutumia mtandao so najua faida na hasara za mtandao.worry out MBUMBUMBU....
 
Mkuu mbumbumbu nashukuru kwa input yako kwani si rahisi kujua intention za watu waulizao vitu mbali mbali mtandaoni.
Sina nia yoyote mbaya na ndio maana nikaomba swali langu la mwisho lilikuwa ni kujua wapi naweza kwenda kupata usafiri wa kwenda kisiwani.ungekuja na jibu la swali langu ningeshukuru zaidi na tahadhari yako ya pm kwa Charminggirl haiswihi kwani hata huo mpango sina.
Nadhani itakuwa vyema kama wewe ndio ukaanza kum pm kwani tushajua unafanya biashara(joke)

Mkuu usijali bana... Hahahah.. Karibu sana Mwanza na leo tukutane hapo Gold crest floor ya nane saa moja jioni!
 
Last edited by a moderator:
dah,thnx. nipo busy wangu. hku natoka by 2300hrs.afu natoka choka mbya! asante kwa kujali!
 
dah jf inanikata stimu mbaya jaman dah tsar dear mi mtoto nasty nipo usitishike na jina karibu mwaego sahiv mi nipo tuu najitolesha macho yuu ziwan n nadhan kipenzii changu cg keshakupa maeneo ni suala la kutu pm tu mwandugu si hatuna tatizooo. Karibu teena etii
 
but nadhan mbumbumbu umenena kitu muhimu atkaekuona mbaya mwache akuone bt ni ukweli mtupu watu wanapote kimazingara sikuhiz ooooooh
 
we mtoto daka dili ilo, ata xanane ujafika bado ndo bahat zenyew izo CG analeta pozi eti akixepa dk 5 hatazikuta bata zake.!!
 
Biz in class pia halaf si unajua habari ya sanane lazma muwe wengi kama suta hivi wawil hamuend.
 
Mpenzi weee mbumbumbu kamkata stim mgen sijui atakua kapata tuu watu si unajua wana jf wapo lukuki mza soo mi nimejilaza hapa tumbo mama laniuma tuu

pole mamito, u knw huwa inatokea scenario nyng km hzo na c kwamba hatufaham bali katukumbusha na kafanya vzr. ila kwa upande mwngne me con shda kumeet na mwanajf,its only meeting not otherwise! cjui we waonaje...
 
Sema unajua wanaume weng wanapenda sana kujaribu wasichana me napenda marafki tena sana ila ushenz ushenz wao ndo unanikera bt mgen tsar popote ulipo kama unaiona hii karibu mwaya mi na cg tupo pamoko. Ila wewe cg wewe unakes na mim
 
eh mbona unatutisha thatha, ushenz shnz gani tena huo.!??
 
Sema unajua wanaume weng wanapenda sana kujaribu wasichana me napenda marafki tena sana ila ushenz ushenz wao ndo unanikera bt mgen tsar popote ulipo kama unaiona hii karibu mwaya mi na cg tupo pamoko. Ila wewe cg wewe unakes na mim

fo shoo kipenz,even me i like frnds. bt kuna wanaume wengne ukimeet nao wanahc unawataka me wananibore.enhe kes gan tena hebu ni Prime Minister tucjemwaga kuku weng kwenye mchele!
 
Kwi kwi...ni Prime na mimi eeh
 
Back
Top Bottom