Wapi nitaweza kupata HUAWEI Y300 ya TIGO hapa Dar es salaam

afsa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
1,986
Reaction score
1,593
HUAWEI ASCEND Y300 zinazotangazwa sana kua zina promo ya muda wa maongezi wa miezi sita nitaipata wapi kwa hapa dar? Nimeenda tigo shop ya hapa buguruni naambiwa haziko sokoni kwa miezi mitatu sasa mbona wanaendelea kuzitangaza kama hazipo sokoni? Anayejua tafadhali
 
Utapata
- Tigo duka la kamata - nyerere road
- Au pale kitega uchumi

NB: Nunua Ascend Y530, badala ya hiyo y300. Zote ni bei moja. Ila y530 ina specs. Zaidi ya Y300.
 
y300 zishamalizika. Sasa wana y330 kwa tzs 130,000. Hiyo ya y530 ni tzs 195,000
 
y300 zishamalizika. Sasa wana y330 kwa tzs 130,000. hiyo ya y530 ni tzs 195,000
huawei-y530.jpg
 
HUAWEI ASCEND Y300 zinazotangazwa sana kua zina promo ya muda wa maongezi wa miezi sita nitaipata wapi kwa hapa dar? Nimeenda tigo shop ya hapa buguruni naambiwa haziko sokoni kwa miezi mitatu sasa mbona wanaendelea kuzitangaza kama hazipo sokoni? Anayejua tafadhali
afisa zinazotangazwa sasa ni huawei y330 na huawei y530,,hzo huawei y300 walishaziondoa kwenye promo zao.
Au ulitaka kumaanisha y330 ndo ukateleza ukasema y300..??
 
Last edited by a moderator:

Asante nina maanisha y330 ya tsh.130000 kisha unarudishiwa tsh. 120000 kama kifurushi
 
Last edited by a moderator:
y300 siku hizi madukani bei rahisi 160,000 unaipata ukibargain hadi 150,000

nenda aggrey utazikuta kibao
 
last week niliziona Tigo shop M. city
 
Huawei y530 npe 150k, INA support line zote.. 0714363620
 
Mm CIO wakala nicca'. Unapata simu tu.. Mm cjanunua za tigo ss uo mud wa maongez utajnunulia mwenywe mkubwa 21
 
Last edited by a moderator:
samsung galaxy note 1 brand new (very small crack,haisumbui touch)350 negotiable. 0799363620
 
Back
Top Bottom