Wapi nitapata rechargeable battery

Wapi nitapata rechargeable battery

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2008
Posts
2,156
Reaction score
1,539
Wakuu Naombeni mnielekeze wapi nitapata NCR 18650B battery maana aliexpress na Ebay siku hizi hawaship
Ii-ion battery.

1654315692-1808694968.jpg
 
Vunja battery ya laptop utazipata free of charge hata battery mbovu ya laptop utapata cells nzima unaweza kuta katika Sita mbovu ni mbili tu kama we ni mtundu wa electronics utaielewa namaanisha nn.
 
actually izo ni 'cells' sio battery, 'cells' zikiwa 2 au zaidi ndio zinatengeneza battery
aliexpress/ebay hawaship ( au wanaship kwa courier za mda mrefu mno ) maana izo 'ZINALIPUKA' mda wowote ule joto likizidi

battery yoyote ya laptop zna izo 'cells' ndani yake,
 
Haya mafunzo ni basic sana tena shule ya msingi
actually izo ni 'cells' sio battery, 'cells' zikiwa 2 au zaidi ndio zinatengeneza battery
aliexpress/ebay hawaship ( au wanaship kwa courier za mda mrefu mno ) maana izo 'ZINALIPUKA' mda wowote ule joto likizidi

battery yoyote ya laptop zna izo 'cells' ndani yake,
 
Exactly model? Sina uhakika mkuu utapata wapi I'll battery za mfano huo AA ambazo ni rechargeable zinapatikana around 20,000 kwa piece 4.

Huyo Jay duka lake lilikuwa Swahili na mafia ghorofa ya 1.
 
hizo za Size AA rechargeable huwa ni fupi na nyembamba kuliko hizi na huwa mara nyingi ni za NiMH zina 1.4v. wakati hizi alizoonesha ni za Li Ion. na ndo zinatumika kwenye powerbanks na laptop batteries na zinakuwa 3.7V. Nitaweka picha hapa aone kama zitamfaa na matumizi yake
 
Zinaweza pia kuingia kwenye mashine ya kunyolea?
 
Vunja battery ya laptop utazipata free of charge hata battery mbovu ya laptop utapata cells nzima unaweza kuta katika Sita mbovu ni mbili tu kama we ni mtundu wa electronics utaielewa namaanisha nn.
Za laptop hazina huwezo ndugu maana nyingi hazifiki hata 1500 mAh
 
Exactly model? Sina uhakika mkuu utapata wapi I'll battery za mfano huo AA ambazo ni rechargeable zinapatikana around 20,000 kwa piece 4.

Huyo Jay duka lake lilikuwa Swahili na mafia ghorofa ya 1.
Mbona hazifiki hata 1500 mAh hizo
 
hizo za 600mAh ni size AA za kawaida ambazo zinafaa kwenye Remote, redio ndogo na vitu vidogo visivyohitaji current kubwa. Yaani hizo hata kwenye camera ya digital haiwezi kupiga hata picha 5. Size AA nzuri za kuchaji ni za SONY au GP au zozote ambazo zinakuja na 2500mAh au zaidi.
Mbona hazifiki hata 1500 mAh hizo
 
za laptop zinafika. Katika battery nilizowahi kuvunja kila cell ilikuwa inaanzia 2000mAh sijaona chini ya hapo. Pia battery za powerbank nyingi zina 2000mAh au 2500mAh au 2600mAh hadi 3000mAh.
Za laptop hazina huwezo ndugu maana nyingi hazifiki hata 1500 mAh
 
Zinaweza pia kuingia kwenye mashine ya kunyolea?
Angalia hapo zinavyopishana , nimelinganisha na Size AA ya ABC. Kuhusu kuingia kwenye mashine sina uhakika. Ila mashine zile ndogo "Kemei" za kuchaji zinatumia Size AA Rechargable.
1565449793457.jpeg
 
za laptop zinafika. Katika battery nilizowahi kuvunja kila cell ilikuwa inaanzia 2000mAh sijaona chini ya hapo. Pia battery za powerbank nyingi zina 2000mAh au 2500mAh au 2600mAh hadi 3000mAh.
IMG_20190810_184908.jpg

IMG_20190810_184903.jpg

Kamanda hizo za Damu ya Mzee na violet nimezivunja kutoka laptop but hakuna hata moja inayokidhi matakwa yangu.
Amini cell 6 kwa pamoja kutoka kwa kwenye battery ya laptop zinabeba 4800mAh wakati NCR mbili tu hizo za bluu za hapo chini zinazizidi uwezo 6 za juu.
IMG_20190810_184942.jpg
 
kweli hizo la laptop ni low power. ila hiyo nyingine ni kama hii kwenye picha hapa. Hii pia ni samsung na hizo zingine za blue ni RENON.

unahitaji kwaajili ya matumizi gani? na unahitaji ngapi?
View attachment 1177802

View attachment 1177803

Kamanda hizo za Damu ya Mzee na violet nimezivunja kutoka laptop but hakuna hata moja inayokidhi matakwa yangu.
Amini cell 6 kwa pamoja kutoka kwa kwenye battery ya laptop zinabeba 4800mAh wakati NCR mbili tu hizo za bluu za hapo chini zinazizidi uwezo 6 za juu.
View attachment 1177816
IMG_20190810_194432.jpeg
 
kweli hizo la laptop ni low power. ila hiyo nyingine ni kama hii kwenye picha hapa. Hii pia ni samsung na hizo zingine za blue ni RENON.

unahitaji kwaajili ya matumizi gani? na unahitaji ngapi? View attachment 1177848
Nimetengeneza DIY security camera so nazihitaji hizo Cell kama power backup.
Nikipata nane za ujazo wa juu zinatosha.
 
Zinaweza pia kuingia kwenye mashine ya kunyolea?
tahadhari kubwa kwenye izi battery, hasa zikiwa na chemistry tofauti, mifumo cha charging system za Ni-Mh,Ni-Cd ,Lion,SLA ,LiPo hua haiingiliani kiivyo, kama ni Li-Ion vizuri uka replace ya Li-Ion yenye mAh zinazokaribiana na ile uliyoitoa,
la sivyo 'milipuko' itakua ni inevitable
 
Back
Top Bottom