Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,539
- Thread starter
- #21
Hiyo midude nalijua vizuri Kamanda yaani ukifanya makande ni kujitengenezea suicide bomb.tahadhari kubwa kwenye izi battery, hasa zikiwa na chemistry tofauti, mifumo cha charging system za Ni-Mh,Ni-Cd ,Lion,SLA ,LiPo hua haiingiliani kiivyo, kama ni Li-Ion vizuri uka replace ya Li-Ion yenye mAh zinazokaribiana na ile uliyoitoa,
la sivyo 'milipuko' itakua ni inevitable