Mkuu huwa hutumii hii bidhaa?
kwani wewe unaishi sayari ya mars??????????Kama ni hapa duniani ya yanapatikana kabisaaani msimu mwingine wa mvua umefika, naomba kuwauliza wenzangu wapi nitapata mahindi ya kuchoma?? Mwenzenu ni mpenzi sana wa hii makitu...
![]()
Juna wengine huwa wanaiaandaa hivi...lol hadi mate yanijaa
![]()
Mimi ya kuchemsha bana
![]()
Juna wengine huwa wanaiaandaa hivi...lol hadi mate yanijaa
![]()
Haya safi sana yanaonekana ni fresh from shambaaa.. Daa mate yantoka miee!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Na hii menu je ikoje?
![]()
Na hii menu je ikoje?
![]()