Wapi Nitapata Hii Makitu??

Wapi Nitapata Hii Makitu??

Na hii menu je ikoje?

Chakula.jpg

471.jpg
Vipi Safari_ni_Safari mbona unataka umtafune mwanao?
 
Last edited by a moderator:
Hii makitu nakumbuka zamani wakati tupo wadogo,wale watu wazima utasikia ''hebu nikuoneshe njia'' ugomvi unaanza hapo badala kukuonesha njia anataka akupeleke kabisa
 
Juna wengine huwa wanaiaandaa hivi...lol hadi mate yanijaa

tumblr_lz8mjboKx81rogr1lo1_500.jpg

Jameni mbona mnatuondolea mood ya kazi! Kitu kimetuliaaa kitu cha pilipili kwa mbaliiii, tulimao ka kumwaga na hiyo nyeupe itakuwa mtindi aiseeeee.Hapo piga ua lazima nivimbiwe.
 
Hii makitu nakumbuka zamani wakati tupo wadogo,wale watu wazima utasikia ''hebu nikuoneshe njia'' ugomvi unaanza hapo badala kukuonesha njia anataka akupeleke kabisa
Mkuu mimi mjomba wangu alikuwa akitaka kunionesha njia lakini nikimkabidhi anajifanya yeye Greda anachonga barabara la kupita magari manne bhana.
 
Ni msimu mwingine wa mvua umefika, naomba kuwauliza wenzangu wapi nitapata mahindi ya kuchoma?? Mwenzenu ni mpenzi sana wa hii makitu...

BBQ-corn-chutney-048-1024x768.jpg
Mazeutamu origino sio yale ya kuchakachua. Hayo mavitu yanaongeza matamahuluku (silaha za maangamizi) usipime.
Akijipendekeza mtu anarushiwa magoli hata kumi chapuchapu bila kujitambua.
 
Hii makitu nakumbuka zamani wakati tupo wadogo,wale watu wazima utasikia ''hebu nikuoneshe njia'' ugomvi unaanza hapo badala kukuonesha njia anataka akupeleke kabisa



long time bhana :-*:-*:-* ukiwa wa moto ndo unaonyeshewa njia na mkubwa!
 
kwani wewe unaishi sayari ya mars??????????Kama ni hapa duniani ya yanapatikana kabisaaa

hahaha...ninaishi Mchafukoge huku hakuna hiyo mambo, nitumie kama parcel basi best
 
Hii nzuri zaidi akila mama Kijacho.. Hahaa haaa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mmmh! mbona mtaani yanauzwa na sisi wenye ndevu zetu kidevuni hatuachi kufakamia
 
Back
Top Bottom