Wajaribu sasa hivi waone jinsi kizazi kinavyojua haki zao.Ha ha haaaa mkuu grafani11 watu wa zamani walikua na mbinu nyingi za uonezi dah!
Mimi ya kuchemsha bana
![]()
mmmh! mbona mtaani yanauzwa na sisi wenye ndevu zetu kidevuni hatuachi kufakamia
Ni msimu mwingine wa mvua umefika, naomba kuwauliza wenzangu wapi nitapata mahindi ya kuchoma?? Mwenzenu ni mpenzi sana wa hii makitu...
![]()
Na hii menu je ikoje?
![]()
Mimi ya kuchemsha bana
![]()