Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,481
- 2,609
Hizi nimenunua eur 29,bei unaweza kuiona hapo,nadhani ni vile kila mmoja anavyopenda awe vipi,ninazo dr beat headphone natumia kwa pc tu nikiwa faraghaView attachment 1069920
Yaani wewe, watu wanadunda na earphone miaka na miaka, kizuri ghalama.Huu ndio ushamba/ulimbukeni naoupigia kelele hapa.
Kwanini uingie unnecessary/unrealistic costs kisa tu upate sifa kuwa una gadgets za gharama "matawi ya juu"
wakati mtu ungetumia 20% ya pesa hiyohiyo kupata headphone mziki mnene pale Posta/Mikocheni.
Halafu unakuta sasa, baada ya mwaka kawaya kamoja kanakatika kwa ndani, kwisha habari.
Laki moja yako inakua ishayeyuka. Pole sana kaka!!
Huu ndio ushamba/ulimbukeni naoupigia kelele hapa.

Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
Swadakta zous. Halafu siku zote kizuri ni gharama, zile za bei kubwa zipo comfortable zaidi na zimebuniwa kiutaalamu zaidi, hata athari zake kiafya ni ndogo ukilinganisha na hizi za bei chee (mafamba) zenye ubora hafifu.Man tuko level tofauti wakat ww unanunua kuku elf 15 wenzako wanamnunua kwa laki ..ukitoa mahari ya laki 3 wenzako wanatoa milioni 20 kwa hio usitake mfanane manunuzi na matumiz kama huna ela ni ww
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hahah pole mkuu, ila ukivaa yale makubwa sindio utaonekana mkulima kwa mtazamo wa vijana. Kimsingi there the best in all aspects ila ile hali ya zenyewe kutokuwa compact ndio kikwazo kikuu hasa kwa stigmatization iliopo uraiani! Pia mapenzi binafsi, kwa mfano mimi napenda zile za vipira inner ear.Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
ikikulazimu kuazimisha unabadilisha vile vidude vya kule mbele, ndiyo maana wanaweka vingi. Mimi kutumia headphones labda niwe ndani, siwezi kutembea nimening'iniza maheadphone shingoni kama msanii. Hizi za kichina sijawahi kuzijaribu, kama unauwezo nunua SONY WH-1000XM3, siyo chini ya laki nane!Hizi ni earphone sio headphone. Mie sizipendagi kabisaaa zilivokaa. Kama vile za kuchokonolea nta za masikio.
Ukimuazima mtu mwenye uchafu masikioni lazima zirudi zinanata nata. Kwanini msinunue headphone jamani!!!
Hiyo Kaz ya kujua vinapopatikana vitu quality bongo umesha wahi jaribu kuifanya ? Manake unazungumzia kama vile ni rahisi kukuta duka linalo uza hizo head phones hapo posta,Huu ndio ushamba/ulimbukeni naoupigia kelele hapa.
Kwanini uingie unnecessary/unrealistic costs kisa tu upate sifa kuwa una gadgets za gharama "matawi ya juu"
wakati mtu ungetumia 20% ya pesa hiyohiyo kupata headphone mziki mnene pale Posta/Mikocheni.
Halafu unakuta sasa, baada ya mwaka kawaya kamoja kanakatika kwa ndani, kwisha habari.
Laki moja yako inakua ishayeyuka. Pole sana kaka!!
Hizi nishazitumia hamna bass, labda ushindilie hadi sikio liume. Halafu ugonjwa ule ule baada ya muda upande mmoja unagoma. Hizo zimepitwa sana hata na zile AKG fake za 10,000.Kuna duka linaitwa nas mobile shop lipo 1st floor, China plaza, Kariakoo. Wapo Instagram pia nas_mobile_shopView attachment 1069405
Sent from my SM-A720F using Tapatalk