Kwa kweli nimechoshwa na hizi takataka za kichina. Yaani unanunua headphones unaenjoy kwa miezi 2 na zikijiitahidi miezi 4 basi. Ugonjwa ni uleule bila kujali brand name yaani spika moja inaacha kufanya kazi bila sababu na mchezo ndio umeisha hivyo! Ukienda,kila duka ni hizohizo na hapo naongelea zile za bei kubwa kidogo (zaidi ya 10,000). Sasa naweza kupata wapi headphones nzuri?
Mkuu kuna earbuds nilinunua ebay $ 25 ni balaa ziko poa ile mbaya ni panasonic genuine from Japan
Kwa tanzania mara mia umtafute mtu alonunua simu mpya au kitu chenye earphone umpe hela ya maana akuachie.
Mfano htc one inakuja na earphone za beats zenye thamani around dola 60 hadi 100 (120,000-200,000)
Lumia highend zinakuja na monster earphone ambazo ni equivalent ya beats
Mi ninazo za nokia za zamani zina miaka kama 7 hivi bado zinadunda japo sizitumii sana

Nashindwa kuelewa wafanyabiashara wetu. Hizo high quality headphones hawawezi kutuletea tushindwe wenyewe? Biaahara za wogawoga na kuigana ndizo zinazituponza.