AfroMonster
Member
- Jun 7, 2018
- 67
- 75
Heshima kwenu wakuu, nalenga kuotesha miche ya mipaina(pines) ili kupunguza gharama za kununua miche iliyooteshwa. Lakini sina uelewa wa kutosha wapi nipate mbegu bora ikiwezekana za kisasa. Nishasikia kuhusu kwenda ofisi za wakala wa misitu lakini bado sijapata ushauri wa kuniwezesha kuchukua maamuzi sahihi.
Naomba ushauri wenu
Naomba ushauri wenu