Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
Mtaa wa Mtendeni, hata Khimji ana vitambaa vizuri vya cadetAsante. Yapo wapi hayo maduka?
Mtaa wa Mtendeni, hata Khimji ana vitambaa vizuri vya cadetAsante. Yapo wapi hayo maduka?
Mtendeni StMtendeni ni Kariakoo?
Asante sanaMtendeni St
![]()
Google Maps
Find local businesses, view maps and get driving directions in Google Maps.maps.app.goo.gl
Hii ni ngumu kupata jibu. Mtu anapenda kuvaa kanzu, mwingine anapenda jeans ,wewe uulize zina nini cha ajabu? Mara nyingi uzuri au ubaya upo machoni ama akilini mwa mhusika anaekitazama kitu husika.Naomba kujua zina nini cha ajabu!