Wapi naweza pata vocha za Freedomvp kwa bei nafuu.

Wapi naweza pata vocha za Freedomvp kwa bei nafuu.

Bandwidth mkuu. Chukulia mfano wa vifurushi vya internet.
1. Royal bundle halotel tsh 10,000 unapata unlimited internet kwa 0.5mbps speed
2. Nduki silver TTCL kwa 95,000 unapata unlimited internet speed 2mbps.
Hapo inamaanisha utatumia internet kadri unavyotaka, unadownload chochote unachokitaka lakini speed yako inakuwa limited.
Asante mkuu...nimekupata
 
Mkuu chief mkwawa Mbona your freedom imekataa kufanya kazi Tanzania
 
sababu wewe sio reseller umeenda kwenye carnet umekuta vifurushi ambavyo havifai. ukisoma hio link wakieka id yako kama reseller automatic vitatokea vya mwezi.

bei ya reja reja kwa mwezi ni euro 1 ambayo ni sawa na shilingi 2765 kwa hio 1mbps kwa simu

Mbona nilikuwa natumia your freedom mkuu na line ya voda lakini sasa haifanyi kazi na nimelipia mpaka September msadaa nini shida
 
Mbona nilikuwa natumia your freedom mkuu na line ya voda lakini sasa haifanyi kazi na nimelipia mpaka September msadaa nini shida
Ukieka vocha haifanyi kazi? Kama unamaanisha bila vocha ni Bora wenyewe wameziba.
 
Back
Top Bottom