Wapi naweza pata vocha za Freedomvp kwa bei nafuu.

j wara

JF-Expert Member
Aug 18, 2016
233
248
Amani iwe pamoja nanyi wakuu. Kama kichwa kinavyostate, Naomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza fahamu namna naweza pata voucher za freedomvpn kwa bei nafuu.
 
mkuu unafkiri mikate ya bakhresa sehemu gani inapatikana kwa bei rahisi zaidi?
Unamaanisha kutoka kwao moja kwa moja ....Sema bro kuna wafanyakazi wa ndani ya kampuni ya bakhresa wanaweza kufanikisha kupata hiyo mikate kwa njia za panya , kwa bei chee
 
mkuu unafkiri mikate ya bakhresa sehemu gani inapatikana kwa bei rahisi zaidi?
nimesoma kwa page yao nimeona kama bei ziko juu ...mfano vocha yenye kukupa bundle la masaa 6 kwa speed ya 1mb/s ni kam elfu 5 kasoro...sasa sijajua labda me ndio sijazielewa au vp ?....kwa mnaotumia , Je voucher zip ni economic kwa speed ya 1mb/s ?
 
sababu wewe sio reseller umeenda kwenye carnet umekuta vifurushi ambavyo havifai. ukisoma hio link wakieka id yako kama reseller automatic vitatokea vya mwezi.

bei ya reja reja kwa mwezi ni euro 1 ambayo ni sawa na shilingi 2765 kwa hio 1mbps kwa simu
 
Thank you Chief. Sikulijua hili.
 
sababu wewe sio reseller umeenda kwenye carnet umekuta vifurushi ambavyo havifai. ukisoma hio link wakieka id yako kama reseller automatic vitatokea vya mwezi.

bei ya reja reja kwa mwezi ni euro 1 ambayo ni sawa na shilingi 2765 kwa hio 1mbps kwa simu
hivi vifurushi vya 2656 wauzaji hawatuuzi wanatukandamiza na vile vya kwanzia elfu 20 wakati wengine hatutumia zaidi ya GB3 Kwa mwezi
 
DENT ni App ambayo inakupa vifurushi vya bei nafuu na pia inakupa salio la zaidi ya shilingi 5000tzs mara tu utakapo jiunga.

Na kizuri zaidi utaweza kutoa papo hapo kwenye mtandao wowote utakaopenda kama vocha mfano TIGO,AIRTEL,TTCL,VODA,ZANTEL,HALOTEL bure ila sio Mobile Money.

https://jamiiforums.com/1f20yGkjWX

Tanbihi:Link hiyo niliyoweka hapo ni refferal link ukijisajili kupitia link hiyo wewe na mimi tutapokea 1200 dent bila ya wewe kupungukiwa na chochote.
Jumla utakuwa na dent 1790 ambazo 1200 ni bonus ya kualikwa na 590 kama welcome bonus ambazo zina thamani ya shilingi 5000tzs.
 
sababu wewe sio reseller umeenda kwenye carnet umekuta vifurushi ambavyo havifai. ukisoma hio link wakieka id yako kama reseller automatic vitatokea vya mwezi.
bei ya reja reja kwa mwezi ni euro 1 ambayo ni sawa na shilingi 2765 kwa hio 1mbps kwa simu
Mkuu hiyo kwa mwezi unapewa mb's ngapi?
 
Unlimited lakini max speed ni 1mbps ndo hio Euro moja
Ama unlimited ambayo max speed ni sawa na mtandao wako kwa Euro 2 ambayo ni kama 5000 hivi.
Sema hio ni vpn sio kifurushi cha internet, kifurushi unanunua separate.
Dah nashukuru mkuu...naomba unidadavulie zaidi hiyo aya ya mwisho..
 
Vpn (virtual private network) watu wanatumia kuficha mambo wanayofanya internet,
Chukulia mfano upo chuo na wifi ya chuo wanakataza kuingia youtube, ukitumia vpn utaweza kuingia youtube kirahisi tu.
OK sawa...sasa hapo kwenye vpn wanaposema unlimited 1mbs...hiyo unlimited ni nn kipi wanakupa unlimited?
 
OK sawa...sasa hapo kwenye vpn wanaposema unlimited 1mbs...hiyo unlimited ni nn kipi wanakupa unlimited?
Bandwidth mkuu. Chukulia mfano wa vifurushi vya internet.

1. Royal bundle halotel tsh 10,000 unapata unlimited internet kwa 0.5mbps speed

2. Nduki silver TTCL kwa 95,000 unapata unlimited internet speed 2mbps.

Hapo inamaanisha utatumia internet kadri unavyotaka, unadownload chochote unachokitaka lakini speed yako inakuwa limited.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom