Kaka nashukuru sana, maana unaonekana umenielewa utathani upo akilini mwangu, big up mkuu wanguNenda pale British Council ni Tshs. 400,000/ tu ada yao kwa miezi sita utakuwa umeiva sana.
hapo ni kama upo Dar es salaam, kama upo mwanza sijui kwa kweli labda wadau wa mwanza watueleze hapa ni sehemu gani nzuri mwanza pa kujifunzia kiingereza, natambua your concern mkuu wala usijali.
Shahada chuo Kikuu?
Unataka English Improvement Course?
Mbona unanitisha mkuu,huku chini ulisomea masomo yapi na ulifaulu vipi.
Kufaulu sio tatizo ila mpaka kufikia Degree nikwamba kuna writting Researches nyingi umefanya tena kwa lugha ya kiingereza.
Mie sikushauri hilio,ningekushauri uongeze lugha ya Ziada kulingana na soko la sasa la ajira.
Jaribu ku take a step ahead kwa kusome labda Spanish,Italian,German etc.
Na pia Lugha ya Kichina sasa hivi ipo kwenye soko sana na itakusaidia kama wewe degree holder
Naamini wewe sio kwamba hujui Kuongea na kuandika,ila tatizo lako ni inferiority complex,acha woga na hofu.
Mie nakumbuka wale ambao shuleni tulikuwa tukiwaona machepele kwa kuchapia kiingereza ndio mwisho wake wakawa waakali sana wa lugha hiyo baada ya kuchekwa sana,na wao bila kuona aibu vile vicheko ndio wao wanaongeza speed.
Natumai kila mtu amewahi kukumbana na watu aina hii mashuleni.Muhim ni kutoa aibu na kujiamini na kukubali kukosolewa.
Mfano hai:- Mie.Naongea na kuandika Kiingereza ambapo nimejua zamani,Spanish na Italian nimejua kwenye kazi hizi za utalii,na nilichapia sana,na ukichapia kwa mzungu ndio raha hasa,maana anakuelewa hivyo hivyo then baada ya miaka miwili tu unakuwa mkali sana.Muhim ni kutoa aibu na ufuatiliaji.
Kiarabu ndio naanza kidogodo,maana mie sioni aibu,wanangu ni wazuri sana kwenye kiarabu sasa na mie ni Jiwe kabisaa,sijui lolote.Sasa siku moja nikawaambia jamani eee mie sijui kiarabu nataka mnifundishe,walicheka sana.Na kila mmoja alikuwa na shauku ya kunifundisha.Maana last born akitoka shuleni tu ana pass the lesson to me.Na ndio naanza kuchapiachapia sasa,ila hopefully in two years to come nitakuwa vizuri kwa mawasiliano ya kawaida
Aibu ndio adui wa maendeleo yetu vijana na kuogopa kuthubutu.
Mfano Wa Pili:-Mke wangu mie ni form 4,lugha alikuwa hana.Watoto wangu ni wawili(10 and 7 yrs) na wote wapo International School.
Wife alinibana sana nimfundishe kiingereza ili watoto wasije wakamsumbua,sasa namie nilikuwa busy wakati huo.
Alichofanya wife ni kwamba wale wale watoto ndio aliwaomba wamfundishe,ikawa full kuchapia in house.
Ila unajua mtoto kama umemlea vizuri anakuwa na upeo mkubwa sana,sasa wao hata kama mama yao akikosea humuoni hata mmoja kucheka,ila mama yao ndio huanza kucheka kisha wao wanamuambia mama utajua tu na kumpa moyo.
Sasa uliza leo hii mama yao yupo vipi.Ni kwamba anauweza mzuri sana wa kiingereza cha kuongea na kuandika.
Juhudi yake ikanipa moyo,ndio mwaka jana nikaamua nimfundishe Spanish Language,na yupo vizuri kwa mawasiliano ila bao speed haijakaa vizuri.
Narejea tena,Aibu na uoga wa kuthubutu ndio tunapokwama,na hakuna wa kuitoa aibu hiyo zaidi ya wewe mwenyewe.
Mie sikufika Elimu ya Chuo kikuu ila kama ningefika huko,basi naona kama una degree then una lugha tatu kichwani kama mie,ni ngum sana kukosa kazi kwa ajira za sasa kama huna tamaa ya kulipwa mamilioni.
Ila wengie Degree holders,wanajua Kiingereza tu,kajitahidi sana Kifaransa.
Tijitume,tukubali na tuthubutu

Ngugu zangu, hili tatizo la kuhitaji kujua lugha hii kwa kina sio kwa huyo jamaa tu hata mimi pia nina hitaji kama lake ila kwa bahati mbaya mkoa niliopo (Babati, Manyara) sijaona watalaam wanaotoa huduma hii kiufasaha.Shahada chuo Kikuu?

Kwa levo uliyonayo hustahil kutafuta pa kufundishwa kuongea, utashangaliwa, tatzo huna system ya kuingea mara kwa mara, So tafuta rafiki hata kweny mtandao ambae hajui Kiswahil uwe unaongea nae sana na kuchat