Natafuta partner wa chanel ya YouTube

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
416
532
Niko na interest za kuanzisha chanel ya youtube!!siku nyingi sana.

Kama mjuavyo chanel ya youtube ni investment ya muda mrefu na inachukua muda kuanza kuona matunda yake!

Inaweza kuchukua hata miaka miwili kufikia hatua ya kuwa Monetised!

Kwasababu monetisation inaanza channel inapofikia subscriber 1000

Pia inachukua effort kubwa kupata view zinazokua significant kwa mtu kulipwa.

Hivo ni mchakato mrefu sana sanaa sanaa
Na unahitaji kazi kubwa na mbinu nyingi.

Sifa zangu
  • Msomi wa chuo kikuu
  • Naweza kingereza ila sio fluently (according to English language test)
  • Naamini Youtube ni kazi au biashara unayoweza ifanya hata ukiwa na kazi
  • Napenda kufuatilia Geopolitics
  • Napenda kufuatilia foreign affairs

Madhaifu yangu
  • Siamini kushindwa na niking’ang’anizi kwenye jambo ninalo liamini
  • Sipendi mtu mdini (Muislam/mkristo)
  • Niko na imani sana (tunapofanya jambo)
  • siko money oriented

MAPENDELEO
-Youtube nakua motivated na hawa youtuber
Africa
Wade maya
Swahili nation
Africa insider

IMG_1334.jpg

Dunia
-Nass daily
-Drew bisk
-Fistpost ( india)
-Mr Beast
nk
IMG_1333.jpg

Partner ninayemtaka

  • Awe self motivated sio wa kuvutwa
  • Awe anajua kutumia computer kwa ufasa
  • Ajue editing na kuandaa content
  • Aweze kuandika au kuongea kingereza kwan chanel nataka iwe ya lugha ya kingereza
  • Awe anapenda kuitaarifu dunia
  • Apende journalism
  • Aweze kuprisent au kuongea au kusimulia
  • Elimu yake ( atleast kuanzia form six lakn si lazima kama yuko competent hata chini ya hapo)
  • Awe na strong character
  • Awe na uzoefu na chanel au kuadvertise biashara mtandaon au youtube
  • Awe interested na masuala haya
  • AWE NA IMANI
  • Aweze kujitolea hela au muda nk
  • Awe na hela atleast za kujikimu yy na ya kufanyia vitu vingine
  • AWE NA PUMZI ndefu
** AWE MWANZA *** kwa kuanzia
 
Kila channel ya YouTube ina Aina zake za Contents..
Wewe unataka channel yako iweke Maudhui ya aina gani, yani uposti video zanazoongelea nini...
 
Alaytical
  • Je ukiacha number of subscribers, Je ni vigezo gani hutumika kuweza kuwa monetized?
  • Je "analytical" inaangukia kwenye niche ipi?,( au umechagua/utachagua niche/subniche ipi?) .
  • Na waweza kunipa mfano wa youtube channel moja yenye mafanikio kwenye niche/subniche uliyochagua?
 
Niko na interest za kuanzisha chanel ya youtube!!siku nyingi sana.

Kama mjuavyo chanel ya youtube ni investment ya muda mrefu na inachukua muda kuanza kuona matunda yake!

Inaweza kuchukua hata miaka miwili kufikia hatua ya kuwa Monetised!

Kwasababu monetisation inaanza channel inapofikia subscriber 1000

Pia inachukua effort kubwa kupata view zinazokua significant kwa mtu kulipwa.

Hivo ni mchakato mrefu sana sanaa sanaa
Na unahitaji kazi kubwa na mbinu nyingi.

Sifa zangu
  • Msomi wa chuo kikuu
  • Naweza kingereza ila sio fluently (according to English language test)
  • Naamini Youtube ni kazi au biashara unayoweza ifanya hata ukiwa na kazi
  • Napenda kufuatilia Geopolitics
  • Napenda kufuatilia foreign affairs

Madhaifu yangu
  • Siamini kushindwa na niking’ang’anizi kwenye jambo ninalo liamini
  • Sipendi mtu mdini (Muislam/mkristo)
  • Niko na imani sana (tunapofanya jambo)
  • siko money oriented

MAPENDELEO
-Youtube nakua motivated na hawa youtuber
Africa
Wade maya
Swahili nation
Africa insider

View attachment 2813083

Dunia
-Nass daily
-Drew bisk
-Fistpost ( india)
-Mr Beast
nk
View attachment 2813077

Partner ninayemtaka

  • Awe self motivated sio wa kuvutwa
  • Awe anajua kutumia computer kwa ufasa
  • Ajue editing na kuandaa content
  • Aweze kuandika au kuongea kingereza kwan chanel nataka iwe ya lugha ya kingereza
  • Awe anapenda kuitaarifu dunia
  • Apende journalism
  • Aweze kuprisent au kuongea au kusimulia
  • Elimu yake ( atleast kuanzia form six lakn si lazima kama yuko competent hata chini ya hapo)
  • Awe na strong character
  • Awe na uzoefu na chanel au kuadvertise biashara mtandaon au youtube
  • Awe interested na masuala haya
  • AWE NA IMANI
  • Aweze kujitolea hela au muda nk
  • Awe na hela atleast za kujikimu yy na ya kufanyia vitu vingine
  • AWE NA PUMZI ndefu
** AWE MWANZA *** kwa kuanzia
Hili jambo n jambo unapaswa ufanye mwenyewe

Simu
Mic
Gimbal

Huhitaj zaid ya hapo
 
kusajili youtube chanel ni laki moja nadhani.
Camera, laptop, au manafungulua kwenye simu na matukio mnaedit na kurekodi kupitia simu?
Kusajili channel ya nini? Mkuu hakuna kitu kinachoitwa usajili wa youtube. Wewe kuwa na google account then fungua YouTube channel.
 
Kama unaamini unaweza anza mwenyewe mengine yatajipa mbele ya safari.

Kuna maudhui mengi ya kuwasilisha ukiacha ya udaku na umbea yaliyoteka soko.

Ila muhimu zaidi upende unachokifanya haijalishi unaingiza kiasi gani, ni rahisi kukua zaidi ukienda na njia hii kwa maana utakua unajifunza mengi bila kujali utapata au kupoteza.
 
Back
Top Bottom