Consult Dk. Khamis Kigangwala he's better on it and very Competent too.
Kuna hili jabali la ulozi hapa JF linaitwa Mshana Jr . Hili litakusaidia kuwanyoosha wezi wako.Salaam wana JF,
Naandika kwa hasira na kwa uchungu sana juu ya walichonifanyia wezi. Wamenitia hasara kubwa sana inayoenda kugharimu maisha yangu. Najua wapo watakaonishauri nimwachie Mungu, lakini pamoja na hayo, lazima nianzie ngazi za chini kabla ya kulifikisha kwa Mungu. Kwa anayemjua mtaalam mzuri wa kweli na ambaye pengine mwenye ushuhuda wa kazi yake, naomba anisaidie tafadhali.
Inauma sana.
Kuna waganga wa kweli, ila shida ya hapa wengi wanawaza upigajiUtapigwa hela tu.
Mungu azidi kukutumia. Maana hii siri wengi hawaijui.Yesu ni mganga mzuri kuliko vigagula vyote
Nna rafiki angu shost sana....ana taasisi fulani hivi...sasa mara nyingi tunaonana sana kujengana..ana madhaifu yake...makubwa tu...ila kila saa10 lazima aende kanisan kusali had saa1...sasa siku 1 akaniambia huwa nasalije?..nikamwambia nasali kawaida...bas akaniintroduce kwa maombi makali yale strict...akaniambia wangari Mungu anakubariki zaidi ya hapa kama ukisali kwa kutia nia..its true...very true ..sema ndo hivyo kila mtu na imani yake..yaani yule dada ana hela....na zinamtembelea haswa...power of prayingMungu azidi kukutumia. Maana hii siri wengi hawaijui.
Safi sana. Ushuhuda mzuri sana unaojenga.Nna rafiki angu shost sana....ana taasisi fulani hivi...sasa mara nyingi tunaonana sana kujengana..ana madhaifu yake...makubwa tu...ila kila saa10 lazima aende kanisan kusali had saa1...sasa siku 1 akaniambia huwa nasalije?..nikamwambia nasali kawaida...bas akaniintroduce kwa maombi makali yale strict...akaniambia wangari Mungu anakubariki zaidi ya hapa kama ukisali kwa kutia nia..its true...very true ..sema ndo hivyo kila mtu na imani yake..yaani yule dada ana hela....na zinamtembelea haswa...power of praying
Nipe connection mkuu mm nasumbuliwa na wanga kisa nimejenga kakibanda ka kujihifadhi.Chief pole kwa kupelekwa kwa mtaalam feki,,tatizo ni kwamba matapeli wamegundua huo ni fursa basi wanatembea na matatizo yetu . Next time ukiihitaji connection ya ukweli njoo inbox
Yesu ni mganga mzuri kuliko vigagula vyote
Uganga ni taaluma kama taaluma zingine tu kwa hiyo hutakiwi kucheka
Hahahaha! huo myororo wa dhambi utakufuataNimeeka haya maelekezo kwa kumsaidia mtoa mada na wala sifanyi biashara wala kumpigia mganga yeyote promo, naomba muhusika kama atafanikiwa kwenda huko aje alete mrejesho na awape na wengine kwa faida yao, nitabeba dhambi moja, dhambi zingine jibebesheni wenyewe kwa wenyewe.