GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,859
Yupo humu humu fanya ku mp tuNashukuru sana mkuu!
Anapatikana wapi?
Ukishalima wanakuja kukuvunia bila ridhaa yako!Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni kama milioni moja na laki mbili, nje kidogo ya mji ni kama laki tano hivi, na vijijini mbali na mji (sikufika) nilimbiwa kuna "mashamba pori" yanayouzwa sh 150,000/= kwa ekari.
Wenyeji wangu walinionya nisiende kutafuta mashamba vijiji vya mbali kwa sababu barabara si nzuri ( lakini inapitika).
Mimi nimepalenga huko huko wanakodai hapafai. Patanifaa sana! Naamini ubovu wa barabara si wa kudumu.
Nimesahau majina ya hivyo vijiji, lakini nafikiri nauli ni kama shilingi elfu nne hadi nane kutokea Njombe mjini!
Mnaweza kunikumbisha majina ya hivyo vijiji?
Asanteni!!!
Baridi tu kama hupati lishe sahihi na kuvaa kiusahihi!Vipi baridi huko?
Ndugu ukifanikiwa nakuomba sana unijulishe na mimi tafadhali, huko mbali ndio kuzuri sasa.Habarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni kama milioni moja na laki mbili, nje kidogo ya mji ni kama laki tano hivi, na vijijini mbali na mji (sikufika) nilimbiwa kuna "mashamba pori" yanayouzwa sh 150,000/= kwa ekari.
Wenyeji wangu walinionya nisiende kutafuta mashamba vijiji vya mbali kwa sababu barabara si nzuri ( lakini inapitika).
Mimi nimepalenga huko huko wanakodai hapafai. Patanifaa sana! Naamini ubovu wa barabara si wa kudumu.
Nimesahau majina ya hivyo vijiji, lakini nafikiri nauli ni kama shilingi elfu nne hadi nane kutokea Njombe mjini!
Mnaweza kunikumbisha majina ya hivyo vijiji?
Asanteni!!!
Huwezi kupata kwa bei hiyoHabarini watu wa Njombe, nchi iliyosheheni "asali" na "maziwa"!
Mwanzoni mwa mwaka huu nilifanya ziara mkoani Njombe, ziara ambayo ilinifungua macho kuhusu "utajiri" uliopo Njombe.
Katika hiyo ziara, nilibaini kuwa mashamba si ghali kwenye hiyo "nchi". Maeneo jirani na mijini ekari moja ni kama milioni moja na laki mbili, nje kidogo ya mji ni kama laki tano hivi, na vijijini mbali na mji (sikufika) nilimbiwa kuna "mashamba pori" yanayouzwa sh 150,000/= kwa ekari.
Wenyeji wangu walinionya nisiende kutafuta mashamba vijiji vya mbali kwa sababu barabara si nzuri ( lakini inapitika).
Mimi nimepalenga huko huko wanakodai hapafai. Patanifaa sana! Naamini ubovu wa barabara si wa kudumu.
Nimesahau majina ya hivyo vijiji, lakini nafikiri nauli ni kama shilingi elfu nne hadi nane kutokea Njombe mjini!
Mnaweza kunikumbisha majina ya hivyo vijiji?
Asanteni!!!
🙏🙏🙏All the Best
Watu wa Njombe ni wastasrabu mno! Hawana hiyo tabia.Ulishalima wanaokuja kukuvunia bila ridhaa yako!
Ahsante
Nimekupata mkuu!Ndugu ukifanikiwa nakuomba sana unijulishe na mimi tafadhali, huko mbali ndio kuzuri sasa.
Usiseme hivyo mkuu! Penye nia pana njia. Muhimu ni uvumilivu na kuwa na muda wa kutosha "kupeleleza"Huwezi kupata kwa bei hiyo
Acha kukatisha watu tamaaMashamba ya 150,000 ni uongo mashamba wastani ya huko ndani ndani sana ni laki 3-5 kuendelea hadi milioni tena maeneo ambayo wanamwagilia viazi mwaka mzima uko ata ugusi maana watu ni kiazi bandika bandua