Nadhani ni Atlanta kwenye junction ya I-20 na I-85; ukifanya makosa katika kuchunga lane yako inakuwa imekukula. Hata hivyo sina uhakika sana kwa sababu huwa ninapita tu.

UnapoPAzungumzia wewe ni hapo chini kwenye junction ya I-85 na I-285. Hii spaghetti junction wakati wa snow storm mwaka jana ilikuwa tupu kabisa. Hakuna aliyethubutu kupita hapo.