theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 587
Hupakumbuki coz ulistuka kwa kelele za mwizi nje ya dirisha.Nilishawahi kupita hapo nikiwa ndotoni sema sipakumbuki
Hupakumbuki coz ulistuka kwa kelele za mwizi nje ya dirisha.Nilishawahi kupita hapo nikiwa ndotoni sema sipakumbuki
Dayuum BAK!
Is that your neck of the woods or something..?
Inawafaa wabongo, high ways
Kwa uendeshaji wa kibongo bongo mimi naona hizo barabara haziwafai.