Mnaoshinda JF bando mnatoa wapi?

Mnaoshinda JF bando mnatoa wapi?

Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
Mkuu, kama bado unawaza kuhusu bando Mungu akusaidie na akufanyie wepesi. Huo muda wa kuwaza bando waza utakula nini kabla ya kuwaza maswala ya bando.

Sasa hivi bando bwelele.. Kipindi najiunga JF 2007, nikitaka kuingia JF naendda Stationary kulikuwa na Computer.. Nikiwa mjini naingia mle ndani Posta kulikuwa na Sehemu kuna komputa.. Kutumia internet Nusu saa nilikuwa nalipia buku.

Kipindi hicho JF haina mention wala like. Like zilikuwa zinaitwa Thanks.

Kipindi hicho hata mtu akikuquote hujui.. Hivyo ulikuwa unatakiwa upitie thread zote ulizokomenti kuangalia kama kuna mtu kakujibu.

Sasa hivi buku unapata bando la wiki.
 
Mkuu, kama bado unawaza kuhusu bando Mungu akusaidie.. Huo muda waza utakula nini kabla ya kuwaza maswala ya bando.

Sasa hivi bando bwelele.. Kipindi najiunga JF 2007, nikitaka kuingia JF naendda Stationary kulikuwa na Computer.. Nikiwa mjini naingia mle ndani Posta kulikuwa na Sehemu kuna komputa.. Kutumia internet Nusu saa nilikuwa nalipia buku.

Kipindi hicho JF haina mention wala like. Like zilikuwa zinaitwa Thanks.

Kipindi hicho hata mtu akikuquote hujui.. Hivyo ulikuwa unatakiwa upitie thread zote ulizokomenti kuangalia kama kuna mtu kakujibu.

Sasa hivi buku unapata bando la wiki.
Hilo la wiki najiungaje mkuu
 
Back
Top Bottom