Wapi hapa?

Wapi hapa?

Kasongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
3,149
Reaction score
2,274
20170206_141258.jpg
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Unaelekea Lindi......wasalimie
 
Hapo unaweza ona miti imejipanga vizuri njiani.. ingia ndani huko jangwa tupu watu washakata miti yote...
 
Hiyo ni barabara inayopitiwa na Land cruiser mkonga.
 
Siku hizi kila mkoa zipo barabara za lami siyo rahisi kutambua eneo Fulani ni wapi barabara zinafanana ingekuwa enzi zile tungesema hapo ni wami segera au Moro- dodoma
 
Njia ya Dodoma hiyo maeneo ya sokoine hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom