AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,117
Watu wamekumiss sana hapa. Kwa muda mfupi uliokuwa nao hapa JF umejijengea marafiki wengi, that is good. Well, kuhusu muziki...... napenda sana, sana, sana but I can't sing (sadly)... napenda sana love songs.... I think I am a bit emotional... It's disputable but I consider the Song "Truly Madly Deeply" by Savage Garden to be the most beautiful song ever sung by a human being. Just check its details at Truly Madly Deeply - Wikipedia, the free encyclopedia if you get time. BTW thread inasema: Wapi Ashadii, mimi ninasema:
Welcome Back Ashadii, we missed you!
3D umenifurahisha dear... yaani kunimiss ndo isababishe confrotations?? Na ndio nakubali nimekutana na marafiki wengi (you among them) ambao hata nikiwa jamvini hunifurahisha na kuniburudisha - hata hivyo.. i am glad i know the song huo wa Savage Garden for nina nyimbo zao kama 4 or 5 if not mistaken katika PC and now that you have mentioned nime search na kukuta huo wa "Truly Madly Deeply" and YES i do agree it is a beautiful song thou will still be working out as in how/why you find it the best ever....lol...
Thank you 3D i am glad to be back.