Bado ni umbea...kama sipo na ningependa watu wajue ntatoa taarifa!Otherwise atakuwepo atakapokuwepo!!pamoja na mambo mengine bado jamii yetu jamvini ikimkosa mwenza wao ni vizuri tujuzane kujuana kulikoni. inawezekana anaugua na anahitaji support yetu kama familia ya great thinkers. hata ww Lizzy ukipotea jamvini tutakutafuta, for a simple reason, you are amongst us! au alikuaga kuwa hatokuwa jamvini for a while?
Bado ni umbea...kama sipo na ningependa watu wajue ntatoa taarifa!Otherwise atakuwepo atakapokuwepo!!
Wanipendao nawajua kwa kuona PM zao na sio kwakunianzishia thread!!Huu ni umbea kwasababu unatafuta info toka kwa watu wengine ambao wengi wao hawajui lolote badala ya mhusika mwenyewe au watu wake wa karibu kama unawajua..sio kweli kuwa ni umbeya. ila put it the other way round. ni upendo. ukipotea ghafla utawajua wakupendao. kama unamjali mtu hawezi kutoweka tu na ww life ikaendelea kama kawaida. lazima ujiulize kulikoni. au ww hufanyagi hivyo?
Ndio, sio mimi!faiza woow! Wow! Mean foxy kata mzizi wa fitina,eti wewe ndo aisha dii?
Hapa umejibu kihuni,mara ndio mara sio mimiNdio, sio mimi!
Leo Romance yupo wapi? Jana alikomalia sana hili swala! Au usikute kala banAshaD=FaizaFoxy!! So yupoyupo sana tu hapa!! Id zote 2 anazitumia!!
Wamekafisadi aiseee...au sijui ndo wamekavisha gamba!!lizzy kathenks kako wapi nikugongee
Hapa umejibu kihuni,mara ndio mara sio mimi
Jamani, si ungetizama swali uliloniuliza, umeniuliza "eti wewe ndo aisha dii?", hiyo "ndo" nimeichukulia kuwa "ndio" nikakujibu kama swali lako kuwa; ndio, sio mimi! sasa wewe uliniuliza kihuni? lol.
aya maneno na ww unayasikia?Yes, I miss you too Ashadii.
mkuu hapa hakuna ishu ya michongo ya feza,ishu ni kwamba shiiii.. Ashadii iz equal to nanii naniii naniiii FFU.Akikosekana mtu hapa ujue ana michongo ya fweza, siyo lazima humu uwepo kila siku au kila mara.