TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,780
- 19,035
will you marry me??Jamani kuna mmoja humu JF hataki kabisa kusikia habari za Ashadii wala FaizaFoxy. Shauri yenu, atakuja sasa hivi.
will you marry me??Jamani kuna mmoja humu JF hataki kabisa kusikia habari za Ashadii wala FaizaFoxy. Shauri yenu, atakuja sasa hivi.
bado kidogo niwaambie wakuulize. Hebu 2ambie sasa yuko wapi huyo heart healer wako?halafu nikwambie kitu Hus, watu serious wangeniuliza mimi alipo!
Sijui kwanini siku hizi nampenda sana FaizaFoxy......
Faiza hebu niamkue.
will you marry me??
FF mimi mwenyewe nipo in love kwako ..tokea umkimbize mkenya kwenye thread moja mimi nipo in love with you. ubarikiweNo. I already have my Gozi, besides I may be the age of your grandma.
Ashadii,
please don't go
............
............
We badly miss you Ashadii.
Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
Yes, I miss you too Ashadii.
wa nasema ndo huyo wa juu yangu,ingawa nafsi yangu haikubali ivo
Watu wengine wambea kweli....
Kama mtu hayupo jamvini that means ana mambo yake mengine yanayomwondolea uwezo wa kuwepo humu ama kajipumzikia.
Yaani wewe ni............aahhh goooshhhh siruhusiwi kusema haya niliyotaka kusema samahani napita tu
Yupo maternity leave
Mcheck kwa PM
Tofauti na JF kuna maisha mbele yake! Yupo na shughuri nyingine za kipato zaidi. Big up Ashadii, kikazi zaidi!
Wow......she is back!Manumbu asante kwa kujali... ila ungevuta subira kidogo kablaya kurusha uzi maana sio mda kivile mimi kupotea hapa jamvin...Nilijua kabisa kua sitakuwepo jamvini ila tu sikutumia busara kutokukuaga..hata hivyo tunajifunza tokana na makosa... Next time will do so...I believe you are well and good.
Mhhhh jamani labda mumewe karudi, si alisema mumewe hayupo?
Akikosekana mtu hapa ujue ana michongo ya fweza, siyo lazima humu uwepo kila siku au kila mara.
Leo Romance yupo wapi? Jana alikomalia sana hili swala! Au usikute kala ban
ff pia alikuwa kapotea ila kwenye hii sredi ya kutafutwa ashadii katokea ghfla...?????
Kuna hisia znanambia kitu hapa bt ngoja nthibitishe kwanza..
mkuu hapa hakuna ishu ya michongo ya feza,ishu ni kwamba shiiii.. Ashadii iz equal to nanii naniii naniiii FFU.
The best thing I can say to you guys: Ashadii is not FaizaFoxy. Those who know, know this.
Wow......she is back!
halafu kila siku habari ndo hiyohiyo kwani hataakiwa mtu mmoja tatizo nini jamani!
Well said!
kwangu mimi yoyote ambae anashindwa kumtafautisha FaizaFoxy na Ashadii basi huyo hafai kuitwa great thinker.
Asha Dii can never be Faizafoxy and viceversa. Yes I said it!
Where are u my dear.
Sijui kwanini siku hizi nampenda sana FaizaFoxy......
Faiza hebu niamkue.
nimemiss kweli.. ! kala ban nini..?!
From Ashaa "D" to Ahsa Diii................................now at least on JF she is R.I.P...........how sad to miss such a hugely popular talent..................kwenye wasifu wake naona......................sasa yeye ni guest............................................. from senior JF expert member....something is terribly wrong.........................
Kuna fununu AshaDii alishinda Lottery so amepotea kidogo wakati akitafakuri the next move. May God bless you wherever you may be! Peace!!
halafu nikwambie kitu Hus, watu serious wangeniuliza mimi alipo!
i miss her much
will you marry me??
bado kidogo niwaambie wakuulize. Hebu 2ambie sasa yuko wapi huyo heart healer wako?
Missing Ashadii. Still believing she will be back soon. I miss you Asha!
Dedicating to you the song, "Have you seen her" by The Chilites.!
Ashadii, dedicated to you:
You, a miraculous being, I love that figure of yours
You're unequalled in beauty, the Lord has perfected you
There is none in this world, to compare with you
You the flower of paradise, the rose without thorns
Who has driven you out of your dwelling?
Did the Devil or Spirit, stole you from your kind?
It's the maidens of paradise that are your equal
You the flower of paradise, the rose without thorns
3D i am smilling ile mbaya... kwanza umenikumbusha mbali.... na pili i have
never associated you with music as much as tunakutana saaana entertainment...
and nimeona the Lyrics you have provided.... I believe a gal has the right to blush...
and the whole day at that....
Again thank you for your conficence in me... Missed you by the way.
Ashadii, dedicated to you:
You, a miraculous being, I love that figure of yours
You're unequalled in beauty, the Lord has perfected you
There is none in this world, to compare with you
You the flower of paradise, the rose without thorns
Who has driven you out of your dwelling?
Did the Devil or Spirit, stole you from your kind?
It's the maidens of paradise that are your equal
You the flower of paradise, the rose without thorns
...it seems kidogo
you have loosened up a bit....
Those words coming from a fellow woman.....
Thanks love...