Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Messages
378
Likes
268
Points
80
S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2010
378 268 80
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake.

Basi tutumieni hili jukwaa kupashana yanayojiri in case mmoja wetu amepitwa siku hiyo.

5353113_orig-png.529420
 
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
2,024
Likes
85
Points
0
sun wu

sun wu

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
2,024 85 0
cheki hapa kwenye hii site yao am sure utapata latest details (binafsi huwa siangalii)
Home

Nimeona wana twitter na Facebook account unaweza uka-join na kubadilishana mawazo as well as getting teasers za coming episodes
 
S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Messages
378
Likes
268
Points
80
S

SirBonge

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2010
378 268 80
cheki hapa kwenye hii site yao am sure utapata latest details (binafsi huwa siangalii)
Home

Nimeona wana twitter na Facebook account unaweza uka-join na kubadilishana mawazo as well as getting teasers za coming episodes
Ahsante mkuu, kule naona inaendela vizuri tu, ila huku kwetu (ITV) ndo hamna
 
mchapa shughuli

mchapa shughuli

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Messages
545
Likes
368
Points
80
mchapa shughuli

mchapa shughuli

JF-Expert Member
Joined May 19, 2011
545 368 80
Itaendelea kuanzia kesho au j3 usihofu..
 
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Messages
12,879
Likes
7,312
Points
280
Karucee

Karucee

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2012
12,879 7,312 280
Ultra Deep ndio walisababisha kifo cha mtoto wao. Ila kwangu mie kipindi Bianca Booysens alivyoshtakiwa walikuwa wananiboa. Eti hata mwanae haruhusiwi kumbeba japo kidogo akijifungua.
 
N

Nurayah

Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
33
Likes
0
Points
0
N

Nurayah

Member
Joined Dec 17, 2011
33 0 0
Ultra Deep ndio walisababisha kifo cha mtoto wao. Ila kwangu mie kipindi Bianca Booysens alivyoshtakiwa walikuwa wananiboa. Eti hata mwanae haruhusiwi kumbeba japo kidogo akijifungua.
Ni masharti ya mkataba na Bianca alikubali na akasaini. Na zaidi si tu hakuruhusiwa kumshika ila hata kujifungua ilipangwa ifanyike kwa operation.
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,183
Likes
29,857
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,183 29,857 280
wewe unamkaribia frank xavier?
Tunao waandishi kibao wazuri tuu wa habari za uchunguz, naomba nisiwataje, wasije waka wau uli....
Zamani hata mimi nilikuwa Investigative Journalist, kwa sasa ni producer mostly niko behind the camera ila inapobidi. Ya mwisho nimefanya wakati wa mgomo wa madaktari, watu wamepoteza maisha na hakuna aliyewajibika!, masikini Watanzania kwanza hatujui haki zetu in case of death due to negligence na hata kwa wanao jua, gharama ni kubwa kuajiri wakili na kwa sheria zetu, hatuna pro bono!. Mwisho wa kipindi nilisisitiza lazima serikali iwajibike na kulipa fidia!. Program ilikataliwa na ku end up in my shelves!.
Tukirudi kwenye Isidingo, mimi ni mgonjwa, nilianza na Egoli, sasa niko na Isidingo, nikimiss jioni, kesho yake siondoki home mpaka saa 4 baada ya marudio, nikimisi, nasubiria Jumamosi usiku, au Jumapili asubuhi.

Ninamfahamu hadi mke halisi wa Pearsons, anaitwa Nadipha anafanya kazi Holiday Inn ya Santon town. Studio zao ziko opposite na Millband Hospital alipolazwa Kibanda.
Pasco
 
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
4,719
Likes
2,099
Points
280
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
4,719 2,099 280
Hii tv ndio imeshinda super brand kweli kichekesho
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,220
Likes
3,089
Points
280
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,220 3,089 280
Sisi wa uswazi tuwaeleweje?
 
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Messages
27,653
Likes
2,709
Points
280
King'asti

King'asti

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2009
27,653 2,709 280
Afadhali hawakuitoa, manake ungeishia kung'olewa meno aisee.

Nilianza kuangalia isidingo mwaka 1994 baada ya kushtuliwa na mpwa wangu mmoja. For the past three years sijaiangalia kabisa manake napata chanel ya kitz moja tu, your crappy tbc1. Nashukuru sasa na walau star tv. Ila si haba nafuga addictions zingine kama rythim city, scandal na jacob's cross. Hadi aibu kusema aisee. Ila wenzetu wa SA wako mbali sana kwenye uigizaji. Ukiangalia hii scandal ( inaonyeshwa etv saa mbili na nusu EAT jumatatu hadi alhamis, utapata raha sana. Inazunguka kwenye maisha ya wafanyakazi kwenye media.

Kuna website ya isidingo, unaweza kuinterract nao moja kwa moja.

Back to tz journalism, inasikitisha kwa kweli. Nikuambie tu kuwa uandishi wa habari, kama upolisi na ualimu; vimedharaulishwa na serikali na mifumo duni ya elimu. Zimekuwa kada for failures. Rafiki yangu anaandikia reuters from tz, anasoma some digree course hapo mikocheni somewhere. Yuko busy na kazi na shule yenyewe anasema hata akikurupuka usingizini akapewa mitihani anafaulu tu. huwa haingii class kabisa! Kitu kinachosikitisha kuwa hata hao waandishi wa digirii wanakuwa wamesoma nini sasa? Na ndo ukijitia kihedemshede cha investigative journalism unaishia kuwa kina kibanda na wakikupendelea unakuwa jerry muro!
Tunao waandishi kibao wazuri tuu wa habari za uchunguz, naomba nisiwataje, wasije waka wau uli....
Zamani hata mimi nilikuwa Investigative Journalist, kwa sasa ni producer mostly niko behind the camera ila inapobidi. Ya mwisho nimefanya wakati wa mgomo wa madaktari, watu wamepoteza maisha na hakuna aliyewajibika!, masikini Watanzania kwanza hatujui haki zetu in case of death due to negligence na hata kwa wanao jua, gharama ni kubwa kuajiri wakili na kwa sheria zetu, hatuna pro bono!. Mwisho wa kipindi nilisisitiza lazima serikali iwajibike na kulipa fidia!. Program ilikataliwa na ku end up in my shelves!.
Tukirudi kwenye Isidingo, mimi ni mgonjwa, nilianza na Egoli, sasa niko na Isidingo, nikimiss jioni, kesho yake siondoki home mpaka saa 4 baada ya marudio, nikimisi, nasubiria Jumamosi usiku, au Jumapili asubuhi.

Ninamfahamu hadi mke halisi wa Pearsons, anaitwa Nadipha anafanya kazi Holiday Inn ya Santon town. Studio zao ziko opposite na Millband Hospital alipolazwa Kibanda.
Pasco
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,823
Likes
14,355
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,823 14,355 280
Kwetu sisi wafuatiliaji, kuna anayejua sababu ya tamthilia hii kurudiwarudiwa siku za karibuni? ndo imeisha au? tafadhalini wajuaji wa hili tupeni taarifa wakereketwa;
By the way, I cant imagine kwa investigative journalist kama Frank Xavier angekuwa Bongo ingekuwaje! nahisi angeshang'olewa mpaka mapafu yote.
mwenyewe nimekereka.na sio isidingo tu.hata ile ya jack baur.(24)
 
Forum statistics

Threads 1,235,662
Members 474,678
Posts 29,229,859