Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Mimi toka ilipoanza naangalia mpaka leo, ila ya ITV ipo nyuma kama miezi 8 hivi

Kama una dstv wanaonesha na mimi nilishtukia last week ila huwezi kufuatilia kwa kuwa tayari tuko nyuma sana utashindwa kuwa na mwendelezo.
 
ni kweli ya kwetu huku itv ipo nyuma maana naangalia page ya isidingo ya wasouth huko ni matukio ambayo sjapata kuyaona.
MAHEPE hebu niambie sasa huyu mtoto wa Nikiwe atazaliwa? Na je Frank atarudi kwa Nikiwe au anamuacha aendelee na Carter?

Hawa so called super brand wanaudhi kwa kuwa hata ukiwa Uingereza wako mbele sana Isidingo.
 
DEREK NYATHI is back. Mmemuona? Kesho utamuona vyema maana ameingia tu ikaisha.
 
kuangalia tamthilia for years kama hiyo isidingo nadhani ni mateso

naam ni mateso bila sababu maana watu wnazeekea kwenye hiyo tamhiliya na wengine wanahama nakufa, lakini bado tu inaendelea.
 
Nasikia Derick nyati will be back baada ya kuwa nje ya isidingo kwa miaka karibu 20

Derrick Nyati ni owner wa Horizon Deep mine,ambayo inagombaniwa na Rajesh,Baker na family ya Sibeko.Muda si mrefu ataanza kuonekana.
 
Kumbe Isidingo ni tamthilia? Mimi nilijua taarifa ya habari maana tangu nizaliwe hadi leo muda ule ule na chanel ile ile nikajua ni taarifa ya habari dah!

Watu wengine bhana. Mbona wanaonesha kuwa ni tamthilia? We vipi!
 
Mimi ni mhanga wa isidingo pia kwa hii wiki nimeskitika hakuna jipya zaidi ya marudio. Kama kuna anayeweza kutufikishia malalamiko itv afanye hvyo maana hawatutendei haki.

Kwaninhao masupabrandi hawako humu JF? Wiki iliyopita ilionekana kwa shida kweli wakati TV nyingine kama Star na Ch.10 hawakuwa na shida wakati wanatumia king'amuzi kile kile. ITV mnatuharibia uhondo wa Isidingo.
 
ni kweli ya kwetu huku itv ipo nyuma maana naangalia page ya isidingo ya wasouth huko ni matukio ambayo sjapata kuyaona.
MAHEPE hebu niambie sasa huyu mtoto wa Nikiwe atazaliwa? Na je Frank atarudi kwa Nikiwe au anamuacha aendelee na Carter?

utamu utaisha though natamani kujua pia...
 
LERATO! Daah hyu mdada nam admire ile mbaya! She is black beatifl grl! Ningekuwa na uwezo au ningekuwa kiongz flan hv ningempa mgodi mmja hapa Tz ili hasipate taabu ya kutafta ajira!
 
Tayari Rajeshi kashauziwa mgodi bcz proposal yake ilionkena ni bora kuliko ya mwenzie
kasheshe itakuja pale derick nyati akigundua kumbe Barker ana hisa ya 49% kwenye kampuni ya Rajesh wakati nyati na barker hawaivi.

Pia mke wa sebeko nae anahisa kwa Rajesh japo anataka iwe siri.mme wake akigundua kitanuka.
 
LERATO! Daah hyu mdada nam admire ile mbaya! She is black beatifl grl! Ningekuwa na uwezo au ningekuwa kiongz flan hv ningempa mgodi mmja hapa Tz ili hasipate taabu ya kutafta ajira!
hata kimberly yuko moto,na kiasi nigiwe.

Lakini Ayanda wala havutii japo brotherman sikumbhuzo ndo alishaoza juu yake.
 
Back
Top Bottom