Wapenzi wa Paka

Heh pole sana hao walikuwa paka vibwengo!
 
Last edited by a moderator:
Heh pole sana hao walikuwa paka vibwengo!
Exactly, kuna siku ilikuwa baridi, nilikuwa naharaka alfajiri nikiwahi eapoti kumwahi mgen... Bas kuwasha engine ya gari kumbe kuna paka aliingi usiku kujikoka joto la gari....Mmmh sasa nilipopiga switchi Khaaah mbona fan ya gari ikamraruwa na kumuua!! OMG !!
Kwa kuwa nilichanganya gear kuwahi kumpokea mgeni nikasahau yaliyotokea...!! Very bad, haikupita Masaa ila ikaingia MSG TEXT kutoka idara ya Traffic kuwa nimesababisha Ajali huko barararani ...so ikanigharimu fortunes!! (majanga ya hawa wanyama ni balaa) !!
 

Mhhhhhhh
 
napenda sana wanyama kama paka. ni mnyama pekee akiyemakin na ana akili
Paka wana akili sana na wanafundishika, hata atakapofanya kosa ukimtishia anaelewa siku nyingine harudii tena kosa kama hilo.

Mimi nilikuwa na kawaida ya kumpa mkono wangu anauramba na ulimi wake unasugua sugua kama msasa au kuna wakati nlikuwa namuingiza vidole vyangu mdomoni mwake basi anachofanya hakung'ati anakufinya kwa mbali sana sababu anajua mnacheza
 
Kweli kabisa mkuu.... Hatamm kuna kipind nilikuwa nampa maziwa. Huyo paka alikuwa ananifuata hadi kitandan napo lala ananigonga na kucha kila ifikapo asubuhi ili nimpe maziwa
 

Nzuuuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…