Sipendi kufuga paka jike maana niliambiwa ukifuga jike huwa wanatabia ya kutoroshwa na madume kama binadamu wanavyofanya sikuamini ikaja ikatokea njemba lilikuwa linakuja kwa kuiba jeusi baya likilia tu nje hamuelewani humo ndani (Suzzy) atakwangua mlango analia hadi mnafungua analala nje saa kumi na moja alfajiri analia dirishani yaani hulali utafungua tu mwisho nikaamua nikifungua nampiga na kiatu yaani ikawa ukifungua tu anakimbilia ndani kukwepa kupigwa hatimae akahama kabisa na lile paka jeusi likaacha kuja sasa hivi ninaye ambaye ni mjukuu wa yule paka wa mwanzo lakini dume maana jirani mwenye lile dume aliniambia paka wangu yupo kwake alimsifia sana nikamwambia akae naye kisha asi huku.