ImetokaImetoka tayar umeshaiona
me RANGO siikubaliMbona mnaisahau RIO NA RANGO au sio kali
Sista inaonekana hauko serious kabisa maishani. siyo kwa kupenda huku animations. bila shaka umecheki Mulan?. kuna hizi za japan grave of the fireflies na spirited away.toxicwap.com wameupload HOTEL TRANSYLVANIA the series!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sista inaonekana hauko serious kabisa maishani. siyo kwa kupenda huku animations. bila shaka umecheki Mulan?. kuna hizi za japan grave of the fireflies na spirited away.
EpicBinti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
Kabisa zinaweza sumbua mtoto kuelewa au kufurahia. Hiyo Grave of the fire flies inasikitisha sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti sipo serious maishani!!!
Mulan nimeicheki...
Za kijapan za kiutu uzima sana ila nimeangalia some, sikumbuki majina! Yaani wale wanatengeneza animationa ambazo huwezo angalia na mtoto
Zote ni animations. Kuna za 2D na 3D.Kuna tofauti kubwa kati ya animation na cartoon..., kuna wengine wanarefer to cartoons as animation..
Ntaipata wapi?Kabisa zinaweza sumbua mtoto kuelewa au kufurahia. Hiyo Grave of the fire flies inasikitisha sana.
Asante
Link mbona hujaweka sasa me mwenyewe ni mpenzi wa cartoon,je ni animation gani unazikubali
mimi namba 1 Zootopia
![]()
namba 2 Hotel Transylvania
![]()
Namba 3 ni Big Hero 6
![]()
Taja zako plzz