Nimeiona tu, kila siku naipita!!! Kumbe Kali!!! NtaitizamaKuna hii ya mwaka huu inaitwa THE BOSS BABY... Kali sanaa!
Asante kwa kuwakilisha..Puss in boots
Na mimi naipitaga nasikia ni nzuriNimeiona tu, kila siku naipita!!! Kumbe Kali!!! Ntaitizama
Nimeiona tu, kila siku naipita!!! Kumbe Kali!!! Ntaitizama
Zote ulizo taja na alizo taja mtoa mada naHizo ulizotaja plus hizi...
Strange magic
View attachment 530522
The little mermaid
View attachment 530523
Hii
View attachment 530524
Shrek
View attachment 530525
Mr peabody and sherman
View attachment 530526
The croods
View attachment 530527
Madagascar
View attachment 530528
Zambezia
View attachment 530529
More to come....
How to train your dragon naipenda sana mpaka leo nnayo kwenye collection yangu
Binti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake piakuna ile moja jamaa anafanya utafiti porini ila katika huo utafiti anakuja kugundua mule mule porini kuna maisha mengine ya watu na huwezi kuyaona kwa macho mpaka darubini...... aiseeee anaeikumbuka aniambie
Binti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
Mi niliipata pirate bay... Ila link kwa kweli sinaJaman iyo zootopia ntaipataje jamani.nimeangaika kuitafuta had nimechoka.mwenye link anitumie tafadhali.