Wapenzi Wa Disney Animation na nyinginezo

Wapenzi Wa Disney Animation na nyinginezo

Kama kuna zingine kali kali endeleeni kutupia hapa wakuu na link kwa kuzipata.
 
Kuna animation gan saiv kali tofauti na coco wadau maana ni kitambo sijaingia chimbo la animation!
 
“Pussy in the Boots ”
Naikubali sana hiyo.
Story yake imekuwa reacted na story ya The Giants
 
8ae8d0cb839da7a8115fd00ff6a411db.jpg
Despicable Me Nazikubalii Saaana
 
Back
Top Bottom