ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,733
- 24,812
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Binti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Binti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
The chipmunks, shrek na all timer ni lion kingHata mi 'zootopia' naipa number moja, na kuna 'sing' nayo kwa kweli ni nzuri
Yeah! AsanteInaitwa EPIC
Hii movie nilitokea kuipendaBinti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
The chipmunks, shrek na all timer ni lion king
Alviniiiiiiiii....The chipmunks, shrek na all timer ni lion king
Search and Browse YIFY Movies Torrent Downloads - YTSJaman iyo zootopia ntaipataje jamani.nimeangaika kuitafuta had nimechoka.mwenye link anitumie tafadhali.
EpicBinti yake ndo akakutana na malkia wa wale viwatu akageuzwa kua mdogo nae.... Yaani nimesahau jina lake pia
View attachment 530559
Imetoka tayar umeshaiona
Kwa kwelii...aah mi niliwaza kila animation tu....ThanksShrek na Lion King ni noma sana.
Japo sidhani kama Shrek imetengenezwa na Walt Disney.
BTW, I Like your Avatar.
ratatouile hainichoshagiHzi ni kali
1)ratatouile japo ya kitambo
2)ice age-continental drift
3)home
4)boss baby
Imetoka tayar umeshaiona
Mi niliipata pirate bay... Ila link kwa kweli sina
We jua kitu kimoja tu hkunaga animation movie mbaya bali hupitana uzuri tu moja huizidi nyingine kwa uzuri tofauti na movie za kawaida kwamba kuna movie mbaya kwa maana ya mbaya!ratatouile hainichoshagi
Loving it!Kubo and the two strings