Lile babu lake kauzu kweli!Kubo and the two strings
kuna hii apa nyingine dah nzuri kweli inaitwa
secret life of pets
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site
![]()
![]()
Asante sana kwa link
Tupo wengi mkuuMOANNA
Haha...Mkuu kumbe na wewe umo hadi kwenye hii sektaLile babu lake kauzu kweli!
Umecheki Rick and morty na family guy?Lile babu lake kauzu kweli!
Umecheki Rick and morty na family guy?
Hyo Family Guy inahusu nn mkuu niicheki,nipe muhtasariFamily Guy nimeangalia kidogo,
Rickyand morty bado kwasababu najua nikianza kuangalia series sitaacha.
nipo mkuu!Haha...Mkuu kumbe na wewe umo hadi kwenye hii sekta
Hyo Family Guy inahusu nn mkuu niicheki,nipe muhtasari
Ngoja niitafute hiyoIts just a sick comedy with vulgar words but very humorous.
Iko kama The Boondocks! Haifai mbele za watoto
Aseee hapo kwenye series kumbe tupo wengi,yani me mpaka sasa series nilizoangalia ni mbili tu Game of thrones na Queen of the south maana najijuaga nikianzaga kufatilia kitu sikiachi mpaka nikimalizeFamily Guy nimeangalia kidogo,
Rickyand morty bado kwasababu najua nikianza kuangalia series sitaacha.
Zinachosha sanaAseee hapo kwenye series kumbe tupo wengi,yani me mpaka sasa series nilizoangalia ni mbili tu Game of thrones na Queen of the south maana najijuaga nikianzaga kufatilia kitu sikiachi mpaka nikimalize
Rapunzel au Get tangled kat ya izoo mbiliwakuuu kuna ile animation nimeisahau jina but kuna mdada alikuwa na nywele ndefu balaa ndo anatumia kumuokoa jamaa flani hivi, mnaweza kunikumbusha inaitwaje?
Nimetoka kuicheki jana... nzuriAngalia animation ya Coco ; nna uhakika huwezi kujutia muda wako. Ni animation kali sana
rîse of guardians ina p2?