Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,828
- 40,633
Pcpc or phone
Pcpc or phone
RANGO ni hatari sanaje ni animation gani unazikubali
mimi namba 1 Zootopia
![]()
namba 2 Hotel Transylvania
![]()
Namba 3 ni Big Hero 6
![]()
Taja zako plzz
Dah Hiyo Rango Itabidi niitafuteRANGO ni hatari sana
zootopia ya 2016 kuna mnyama mule anaongea kwa mapozi hatariiiiiiiii yupo reception iyo cheka ya sasa doooh eti ha....... ha....... ha..... ha........ haHata mi 'zootopia' naipa number moja, na kuna 'sing' nayo kwa kweli ni nzuri
zootopia ya 2016 kuna mnyama mule anaongea kwa mapozi hatariiiiiiiii yupo reception iyo cheka ya sasa doooh eti ha....... ha....... ha..... ha........ ha
nyingine ni ratotuile panya mpishi
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Kali lakn Cjaona itakayo izid pandaKuna animation ina mkono mpka dhambi inaitwa kingsglaievn
nemo nimeionaPia kuna hii
![]()
na hii, ila sio nzuri kwa watoto
![]()
Strange magic ni noma aisee,sichokagi kuiangaliTHE ROLAX
Rio
BOSS BABY
SECRET LIFE OF PETS
SMURFS
RATATOUILLE
EPIC
ESCAPE FROM PLANET EARTH
Strange Magic
Kuna siku naoga nilitoka bafuni na sabyni nilijua mwanangu kapigwa shot na umeme...kumbe katuni ili alilia ghafla kwa sauti mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa maamaaaaaaaaaaaaaa kama mala 10 ng'atwaaaaa kumbe anaogopa hii mijitu.