Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,702
- 19,592
Baada ya kukosekana kwa muda mrefu uzi wa kututetea sisi wavuta sigara, sasa rasmi huu ni uzi wetu sasa, tujimwaye mwaye, tubadilishane uzoefu.
Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara?
Karibuni wazee wa sigara, hata zile kubwa ni ruksa kuzijadili lakini kwa tahadhari.
NB: UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.
Ulianza vipi kuwa mvutaji wa sigara?
Karibuni wazee wa sigara, hata zile kubwa ni ruksa kuzijadili lakini kwa tahadhari.
NB: UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO.