miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kabisa kabisa aiseee
nkoi cha mashiko?mwanamke/mwanaume mzinzi ni zigo + + + + halibebeki.
usinilishe maneno mi sijasema ivo
hahahaaaaa saaa hii ngumu
hahaaaaaa natafuta wa kunitoa baridi usiku wa leo nami nimtie joto ila gharama juu yake nataka nami kuwa mzigo
Hakuna mwanamke ambaye ni mzigo!!
Mwanamke nipambo' anahitaji kuhudumiwa, kubembelezwa na kukamilishiwa mahitaji yake yote. Mwaache atumie tu maana jukum lakubeba ujauzito miezi 9 usifanye masiahara kabisa' bado maumivu yakule leba acha uhadithiwe tu!!
Adhabu aliyopewa mwanamke yakuzaa kwauchungu ina mtosha sana sasa kumfanya mzigo haipendezi na pia nikinyume na maandiko! Wanaume tuliambiwa tutakula kwajasho letu' let's play our part.
Huu usawa tunaotaka huu sijui!!
Napinga kabisa hoja kwamba mwanamke anaweza kuwa mzigo!
mwe; uzito wa sufi kaka ndo maana naingia machakani kuopoa kigori kitakachonibeba japo naona kama mapori yote leo ni makame ngoja nielekee kimboka
Na pia kuna member mizigo humu.!
Hahahaaaaaa hata mimi pia
nielekeze tafadhali pawapi hapo