Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,246
- 4,753
huyo jamaa yako ni wa Msoma?
Aroo koma
huyo jamaa yako ni wa Msoma?
Kaizer ameanza kukudanganya?Mie sikuharibii naongelea ukweli kabisaaaa, ndio nn kutaka kunichungulia mtoto wa mwenzio!!
Kama kila mtu anamwili wake, kwa nini wewe unapenda kumnanihii katika mwili wake?
Achia mwili wewe ila usimruhusu kugusa masaburi yako si ndio mjumbe Valentina?
Yes, upo sahihi
We nawe una wivuuuuu!!!
Wadau,
Nimesukumiwa kesi na rafiki yangu wa karibu nikashindwa kuitolea suluhisho ndipo nimeamua niiweke humu jamvini tupeane mawazo. Alinitaarifu kuwa nyumbani kwake moto unawaka ana muda wa mwezi sasa hajapata unyumba kisa yeye binafsi hataki kuoga na mkewe. Anasema toka wameoana yapata miaka mitatu iliopita hawakuwa na huo utaratibu.
Lakini ghafla kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu mkewe anataka wawe wanaoga wote kitu ambacho yeye hakiafiki kabisa, kikubwa ni kuwa hana sababu ya msingi ya kukataa zaidi ya kudai kuwa yeye hajazoea na hataki hilo jambo.
Sasa naombeni wadau mnipe mawazo ambayo yanaweza kumsaidia huyu bwana ili akubaliane na hiyo hoja ya mkewe na hatimaye apewe tena unyumba kwa faida yake mwenyewe. Kwa wale wajuzi wa haya mambo labda ingesaidia pia kama mtatuwekea uzuri na ubaya wa hili jambo kwa wanandoa au wapenzi.
sana hasa juu yako wewe
Hapo jamaa alijurupuka kuoa, hana yale mapenzi ya dhati kwa mkewe, huwenda ata sehemu ya siri ya mkewe hajui inafananaje, pia nahisi sababu nyingine jamaa anaona aibu wakati akiinama mkewe atamchungulia huko nyuma.