Wapenzi kuoga pamoja

Wapenzi kuoga pamoja

Hapo jamaa alijurupuka kuoa, hana yale mapenzi ya dhati kwa mkewe, huwenda ata sehemu ya siri ya mkewe hajui inafananaje, pia nahisi sababu nyingine jamaa anaona aibu wakati akiinama mkewe atamchungulia huko nyuma.

Hahahahah.. itakua watu wameshatatua rinda!! Vijana wa siku hiz hawatabiliki
 
​Baadhi ya Wanaume ndivyo walivyo! Hata kuoga na mkewe ni mgogoro mkubwa duh!
 
stephot

Sidhani kama kuoga pamoja kuna manufaa yeyote katika mahusiano, maana kila mtu anamwili wake na lazima anaoga kwa utaratibu anaoujua mwenyewe, ila lada tu inawezekana kuwa huyo mkewe anajisikia raha akipatiwa bao eneo la uwanja wa bafuni, vinginevyo sioni kitu cha kuleta ugomvi hapo mpaka kunyimana unyumba,
 
Last edited by a moderator:
sa ingine alioga na mchepuko wake guest......anakuletea nyumban lazima ujiulize kajua utamu wake kwa mashoga zake au kwa mchepuko??? how can you tell the difference?
 
stephot

Sioni sababu ya jamaa kukataa kuoga na mkewe aoge nae bhana tena na mambo ingine bafuni ni gudiii sana
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka,jamaa ana mkono wa sweta.
Anaogopa atauona vizuri wakati wa kusuguana..
 
Mwambie huyo jamaa ajaribu tu kuoga na mkewe hakika hataacha, jamani kuna raha yake eti
 
Sidhani kama kuoga pamoja kuna manufaa yeyote katika mahusiano, maana kila mtu anamwili wake na lazima anaoga kwa utaratibu anaoujua mwenyewe, ila lada tu inawezekana kuwa huyo mkewe anajisikia raha akipatiwa bao eneo la uwanja wa bafuni, vinginevyo sioni kitu cha kuleta ugomvi hapo mpaka kunyimana unyumba,

Kama kila mtu anamwili wake, kwa nini wewe unapenda kumnanihii katika mwili wake?

Achia mwili wewe ila usimruhusu kugusa masaburi yako si ndio mjumbe Valentina?
 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivyo jamaa huwa haogi hivyo ananuka saana so mkewe ametumia maneno ya kikubwa ili jamaa akaoge..ndiyo ampe unyumba....acha usela nondo dogo...nenda kaogeshwee,,,
 
Mkuu BronDO nyumba ni ya kwake, na chumba chake cha kulala ni self contained.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom