Wapenzi kuoga pamoja

Wapenzi kuoga pamoja

Kuna uwezekano kaka ana kiharufu kinachokera, mke anashindwa kusema ila anataka kushughulikia kwa vitendo.

Ila vya kuoga pamoja sio lazima kila siku na kila wakati jamani, khaa!!!
 
hebu kwanza tufahamishe, aina ya nyumba na bafu! isije kuwa zile nyumba za vyumba sita bafu moja ndio mke anang'ang'ania kuoga na mumewe!!

Mbona wengine wavyumba12 na wanaenda kuoga wote?? huyo mahaba hawezi na huba hazijui
 
kama huyo mama hakuwa na tabia hiyo miaka ya nyuma kaitoa wapi?

Stereotypes and prejudices zinaisumbua sana jamii yetu!!

Hata kama huyo Dada wa watu kasoma jarida au hata humu JF akitaka kupractice kunogesha penzi lake anahukumiwa!!!! Not fair...
 
Ana kitu gan huyo anaficha hicho, ambacho mkewe hakijui au hajawah kukiona? mwambie akue kdgo. aache utoto. Jambo dogo km hilo nalo la kujadil humu kwel!
 
Back
Top Bottom