Wapenzi kuoga pamoja

Wapenzi kuoga pamoja

huyo jamaa nafikiri anakuwa mtu pori sana. huyu jamaa nahisi atakuwa huwa anagegeda akawa amevaa nguo. analala na jinsi
 
Mwambie huyo jamaa aanze mazoezi ya kulala
bila nguo,na baada ya siku kadhaa
atajikuta ameishaondoa woga
wa kumtokea mke wake bila nguo.

Faida ya kuoga pamoja ni kila mmoja
anamfahamu mwenzake vilivyo
hata ukipata ajali mwili ukapoteza sura
mtu wa kuitambua maiti yako kwa alama
za ndani ni mke/mme.sasa kama mtu anaogopa
kuoga na mwenziwe uwezekano wa kuzikwa
na city unakuwa mkubwa japo hatuyaombei hayo

Faida ya pili ni mwenzio kukusaidia
kusafisha vizuri sehemu ya mwili
usiyoifikia sawasawa.

kama sababu hizi hazitamtosha
mwulize kwanini alioa
akikupa sababu,mwambie basi msikilize mkeo
maana hukulazimishwa kuoa,na usipomsikiliza huyu ujue
na utakayemleta baadaye naye mtaachana
maana sababu ya kufarakana na huyu si ya msingi.
 
Mmhhhh kazi kweli kweli . Jamani maana ya ndoa ni kupeana Raha na si Karaha... But pia hatuwezi kumlaumu Mume kuogopa kuoga na mkewe . Remember there are some people are raised different ... Sometimes they are even forget that now are married and they need to learn little romantic stuffs ( sio yasiyo kubalika Kidini.) To keep the marriage spicy and alive. So your friend should b happy his wife told him and willing to do that with her husband and not with somebody else . There is nothing wrong for him to take a bath or shower with his wife or husband . Ni part of Love, Caring and Romantic.. So your friend need to think about it kwa maana mkewe ana haki ya kutaka na kuomba haki yake kwa maana ni mumewe .. ni hii ni part ya ndoa kwa lile neno or kitu tunachoita tendo la ndoa ... I hope nimeeleweka .. Pole za wote wawili.. Thanks..
 
Huyo.mdada huo utaratbu wa kuoga mbna kaja nao ghafla.. Au kajifunza kwa mchepuko
 
Shikamoo dada DEMBA, vp martenity imeisha? Nilikuwa namchunga tu asiongeze michepuko, si unajua tena! Teh teh teh shem darling Kaizer ukuje huku

Matenity imeisha naomba uniachie mume wangu.
 
Last edited by a moderator:
Matenity imeisha naomba uniachie mume wangu.

Nikuachie kivipi?? Mbona hujiamini mtoto wa kike? Sema "mume wetu" na wake wenzio na michepuko yake, wako kwani ulimuumba huyo? (hii imejipost dada yangu kweli tena)
 
Back
Top Bottom