Wapenzi kukutana mitandaoni wanakuwa na mapenzi ya kweli?

Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.

Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona

Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
Bila kujali sehem unayokutana na mwanaume ,, anaweza kuwa mkweli au mwongo, hujawai sikia wanakwaya wanagegedana na wala si wana ndoa!? lakini wamekutana kanisani. Kumbaini mwongo na mwenyewe future na wewe hiyo ni kazi nyingine lakini wapi ukutane na mwanaume mkweli... hakuna sehem maalum hapa duniani ya aina hiyo.
 
Utamuoa au atakuowa? nakuuliza hili suali kwa picha ya avatar yako. au timu ya Obama wewe?

angalia vizuri hiyo picha. unakumbuka yule mwanamke alieongoza mashambulizi Nakumat Kenya? Samatha?ndio mwenye hiyo picha nilifanya tu kumwazima
 
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.

Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona

Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
 
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.

Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona

Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
 
99% ya wanaume design hiyo ni washenzi!waongo!team freeP!wakopaji! matapeli!mafisadi

Chaaaaa, unaonekana Unapenda hela..... Ngoja miye nikutokee, tena nitakumwagia mahela, Kwi Kwi Kwi msiniue
 
Waliopo kwenye hizi SOCIAL NW ndo wale wale waliopo mitaani pia, tofauti yao ni kitu kidogo sana ambacho ni haiba (hobby).
 
Mtandaoni ni kama vile chooni, bar, kanisani, msikitini, sokoni n.k. Watu walioko maeneo hayo ndio hao hao wapo mitandaoni. Kuna watu wema na waovu wa kila namna. Tatizo pekee la mtandaoni ni ngumu saana kutambua kama unayekutana naye ni mtu mwema au mwovu, hakika ni ngumu sana tena sana kabisa. Ni rahisi kuingia mlango wa kutokea katika ulimwengu wa mtandao kuliko ktk ulimwengu wa kawaida. Mtandaoni mtu anafanya jitihada kuushinda moyo wako na akili zako na hali hajawahi hata kukuona, ni ajabu na kweli! Ni risk sana kwakweli kukutana mtandaoni.

Lkn pamoja na hayo niliyoeleza hapo juu mm mwenyewe na mke wangu tulikutana mtandaoni enzi hizo kulikuwa na mtandao ulikuwa unamilikiwa na vodacom ulikuwa unaitwa "The Grid" kwa wanaoufahamu. Tulikuwa friends wa kawaida tu kwa miaka miwili kasoro hivi kama sikosei. Baada ya hapo ndio tuliamua kuwa na mahusiano. Sasa tumeoana tuna miaka kadhaa ya ndoa na mtoto mmoja. Haya hayakutokea kwa ujanja wetu bali ni kwa neema tu. Hatujawahi ku disclose jambo hili kwa ndugu na jamaa na hawajui tulokitana wapi maana ni watu wa mbalimbali sana! Bahati nzuri nimempata mwanamke mwenye kusifika kwa tabia njema mtaa mzima na kazini kwake!!! Wonderfull!! Ilikuwa ni coincidence nami pia ni mwadilifu kwa tabia zangu.

Ni vyema ifahamike kuwa sisi hatukwenda mtandaoni kutafuta wachumba bali ilitokea kama vile mtu aendaye kwenye ibada kisha akabahatika kupata mke hukohuko. Pamoja na ushuhuda wangu, aminini nawaambia, hakika mtandaoni si mahala pazuri kutafuta mpenzi, kwangu mimi imefaulu kwakuwa mm na mwenzangu sote tuna hofu ya MUNGU katika nyoyo zetu. Mtu mwenye hofu ya MUNGU hawazi zinaa ktk mahusiano yake na wala si kipaumbele kwake.
Hitimisho langu. Mke/Mume mwema anatoka kwa MUNGU na mara nyingi utampata wa tabia zako mwenyewe na unaweza kutana naye popote.
 
sio usaniii, ila utapigwa sana, wengine wanapiga wanaacha ila ipo siku utampata mwenye nia njema. kama mimi nimegegeda sana wadada wa mitandaoni. wengine nimewaliza sana na wao wameniliza sana. yaani ni kama mtaani tu na chuo. mnavyolizana. ila ipo siku utampata wako uliepangiwa na Mungu wako
Wambeke hiyo sura uliyovaa kwenye profile la account hii, je hiyo picha uliyoitumia huyo mwanamke unamfahamu? Iv kwanini utumie picha za watu wenye cfa mbofumbofu za kigaidi?
 
Wanaume cc hatuna mapenzi sisi tuna haja za kweli, haja zikifunga tunagonga hata jiwe natunamwaga vizuri tu hivyo basi suala la kukuona wewe sio kitu kitu ni hilo jina la kike tu.
 
Back
Top Bottom