Wapenzi kukutana mitandaoni wanakuwa na mapenzi ya kweli?

Wapenzi kukutana mitandaoni wanakuwa na mapenzi ya kweli?

Hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako, nilikuwa nahisi mitandaoni kuna mambo ya ajabu ajabu tu.

Ila Heaven Sent amenionyesha kuwa kumbe unaweza kumpenda mtu kupitia mwandiko wake
 
sio usaniii, ila utapigwa sana, wengine wanapiga wanaacha ila ipo siku utampata mwenye nia njema. kama mimi nimegegeda sana wadada wa mitandaoni. wengine nimewaliza sana na wao wameniliza sana. yaani ni kama mtaani tu na chuo. mnavyolizana. ila ipo siku utampata wako uliepangiwa na Mungu wako
Risky taker,
 
Hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako, nilikuwa nahisi mitandaoni kuna mambo ya ajabu ajabu tu.

Ila Heaven Sent amenionyesha kuwa kumbe unaweza kumpenda mtu kupitia mwandiko wake
Uuuh I'm super humbled you know. Glad to know kuwa kuna mtu mwandiko wangu unambariki [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Uuuh I'm super humbled you know. Glad to know kuwa kuna mtu mwandiko wangu unambariki [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Tupo wengi tunaobarikiwa kupitia comments zako...I guess you have something inside you that can transform people to the right destinations.

Ask God to reveal it to you.

I'm neither a prophet nor a pastor hata kidg but I hv noticed that.
 
Amen. You just don't know how blessed I feel after reading this. ... to God be the Glory. I know I'm of a great purpose and, I believe God will fulfill his purpose for my life.... I'll surely develop my gifts by his grace. [emoji120] [emoji120]
 
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.

Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona

Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
Hakuna atakae kuwa na Jibu la Ukweli ama sahihi zaidi ya huyo anaekutongoza na Mola wako.

Nadhani jambo la msingi ni kuwapuuza. Ukiona unaanza kuhoji kama ni wa kweli ama la basi ujue upo mbioni kunasa kwenye mtego.

Ni ngumu sana kuijua kweli ya mtu. Wapo wakweli wapo waongo. Utawajuaje...... hakuna fomular.

Follow your instincts.
 
Kuwa muangalifu sana . Kuna wengi wamelizwa humu Jf na mitandao mingine . Sina hata hamu. Kila la heri
 
Sura sio hoja kama unayo papuchi tu yatosha. Sura hata mbuzi anayo😉
 
mimi mpenzi wangu tumekutana mtandaoni na hope ntamuoa na tunapendana sana, kukutana ni kokote pale siolazima kanisani chuo au kwenye sherehe ya harusi. kikubwa ni nia tu. binafsi sioni tatizo kabisa
Utamuoa au atakuowa? nakuuliza hili suali kwa picha ya avatar yako. au timu ya Obama wewe?
 
Mapenzi huanza na urafiki then mahusiano/mapenzi.

Mapenzi ya kweli hayana papara wala haraka.
 
Back
Top Bottom