Bila kujali sehem unayokutana na mwanaume ,, anaweza kuwa mkweli au mwongo, hujawai sikia wanakwaya wanagegedana na wala si wana ndoa!? lakini wamekutana kanisani. Kumbaini mwongo na mwenyewe future na wewe hiyo ni kazi nyingine lakini wapi ukutane na mwanaume mkweli... hakuna sehem maalum hapa duniani ya aina hiyo.Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.
Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona
Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
Utamuoa au atakuowa? nakuuliza hili suali kwa picha ya avatar yako. au timu ya Obama wewe?
ungewahi ungekutana na mwingine sio huyu...i guess was the right timing!mie wangu tulikutana huku na nampenda ile mbaya najuta hata kwanini nilichelewa kujiunga Jf lol...
Oops sorry.angalia vizuri hiyo picha. unakumbuka yule mwanamke alieongoza mashambulizi Nakumat Kenya? Samatha?ndio mwenye hiyo picha nilifanya tu kumwazima
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.
Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona
Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
angalia vizuri hiyo picha. unakumbuka yule mwanamke alieongoza mashambulizi Nakumat Kenya? Samatha?ndio mwenye hiyo picha nilifanya tu kumwazima
Wana wa jukwaa hili MMU
Nimekuwa ktk magrupu mengi sana ya whatsapp lakini pia nipo facebuk, Twitter na mitandao mingine ya kijamii.
Kote huko unakuta baadhi ya wanaume wanakufuata inbox na kuanza kukutongoza. Wanakutongoza ingawa saa nyingine hata sura hawajawahi kukuona
Hofu yangu ni kuwa, je wanaume hawa huwa na mapenzi ya kweli? Au ni ujogoo tu ndo unawasumbua?
99% ya wanaume design hiyo ni washenzi!waongo!team freeP!wakopaji! matapeli!mafisadi
Chaaaaa, unaonekana Unapenda hela..... Ngoja miye nikutokee, tena nitakumwagia mahela, Kwi Kwi Kwi msiniue
I think so......ungewahi ungekutana na mwingine sio huyu...i guess was the right timing!
Chaaaaa, unaonekana Unapenda hela..... Ngoja miye nikutokee, tena nitakumwagia mahela, Kwi Kwi Kwi msiniue
Wambeke hiyo sura uliyovaa kwenye profile la account hii, je hiyo picha uliyoitumia huyo mwanamke unamfahamu? Iv kwanini utumie picha za watu wenye cfa mbofumbofu za kigaidi?sio usaniii, ila utapigwa sana, wengine wanapiga wanaacha ila ipo siku utampata mwenye nia njema. kama mimi nimegegeda sana wadada wa mitandaoni. wengine nimewaliza sana na wao wameniliza sana. yaani ni kama mtaani tu na chuo. mnavyolizana. ila ipo siku utampata wako uliepangiwa na Mungu wako
Jf burudani kamiliMimi mke wangu nimemdownload kutoka mtandao wa badoo!