Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,326
- 111,498
Wow mpwa kumbe wewe ni role mode wa mtu.....Wow.... asante aisee ni furaha kuona kuwa post zangu zimemuhamasisha mtu kujiunga hapa. Karibu jf
Wow mpwa kumbe wewe ni role mode wa mtu.....Wow.... asante aisee ni furaha kuona kuwa post zangu zimemuhamasisha mtu kujiunga hapa. Karibu jf
[emoji23] jinga weweMimi mke wangu nimemdownload kutoka mtandao wa badoo![emoji1]
haaaa ndio hivyo Mpwa...Wow mpwa kumbe wewe ni role mode wa mtu.....
Mpwa mtoto mkaidi afaudu mpaka siku ya Idd, wewe weekend yote hii unajikaza kisabuni tu huulizi mtoko wapi?haaaa ndio hivyo Mpwa...
swalama lakini....
haa mpwa ile siku nimekuuliza ukaniambia issue za ada Leo ningeanzaje..Mpwa mtoto mkaidi afaudu mpaka siku ya Idd, wewe weekend yote hii unajikaza kisabuni tu huulizi mtoko wapi?
Bila Shaka uliingia kwenye 18 zao
Mpwa kina Samira tayari wapo shule nimeshamalizana nao biashara ya ada wamilikiwa shule tukutane January, sasa ni muda wetu wa kukemea uzee.....haa mpwa ile siku nimekuuliza ukaniambia issue za ada Leo ningeanzaje..
nipe direction nije maeneo yetu maana bata lako si mchezo... hapo ndio nakupendaga mpwa.
Hiyo ni kwa kila ntu huwezi kuutambua utamu na uchungu pasipo kuonja. Vip lakn ulishapata burudiko la moyo?Ili niwe fundisho kwa wengine
Hiyo ni kwa kila ntu huwezi kuutambua utamu na uchungu pasipo kuonja. Vip lakn ulishapata burudiko la moyo?
Ebwana eeeh! Nilitaka nianze kuvizia namna gani!!!! ! Lakn sio mbaya kwa spear tyreMungu yu Mwema kwangu nashukuru nimempata
Hatari sana hii ni changamoto hii mitandao huwa tunatia adabu mbona...99% ya wanaume design hiyo ni washenzi!waongo!team freeP!wakopaji! matapeli!mafisadi
Hahaaaa Hakika tutashindamie wangu tulikutana huku na nampenda ile mbaya najuta hata kwanini nilichelewa kujiunga Jf lol...
Ebwana eeeh! Nilitaka nianze kuvizia namna gani!!!! ! Lakn sio mbaya kwa spear tyre
Hatari sana hii ni changamoto hii mitandao huwa tunatia adabu mbona...
Mpwa nakuja fasta....Mpwa kina Samira tayari wapo shule nimeshamalizana nao biashara ya ada wamilikiwa shule tukutane January, sasa ni muda wetu wa kukemea uzee.....
Tatizo nipo kiluvya kwa kawawa niko na mshirika tunapiga mdudu kwanza, bata za kiutu uzima si lazima mtokee mujini.
Ukuje pm nikupe location.